Daah, Evra my God...!!!
Beki yangu bora namba tatu kwa muda wote. Sijui nini kilisababisha kuondoka OT
Jamaa bado anatusua timu ya taifa, tena XI?!
BACK TANGANYIKA
Romania wamevalia njano kuanzia jezi hadi soksi zao na France wao wana jezi na kaputura za rangi ya blue huku soksi zao zikiwa ni za rangi nyekundu.
Mbona iko live kwenye azam tv hiyo zbc 2 ndiyo naangalia hapaZbc2 imekuwa blocked ila rwanda tv wanaonyesha ch 150
Siangalii mpira Richard unafanya kazi nzuri ku-updet. Niko na wewe kabla usingizi haujanisomba.
BACK TANGANYIKA
Team romania tupo!!?
HahahahHahahahah aiseeeee,
Nakufananisha na yule jamaa aliyebet Leicester city kubeba ndoo England
Alianza hivihivi kiutaniutani kavuta mpunga!!
BACK TANGANYIKA
#rakitic #modric croatia not republic of czech republic of czech like petr cech,thomas rosickyhuyu hayupo sawa kiakili..siasa katka soka hiz soka halina siasa
Huyu Kante sio mtu mzuri