I mean BonucciBuffon nilidhani ni kipa kumbe ni center back... Let's go...
Nilikosea mkuu...ahsanteMkuu hapo kwa mabeki 'BBC' ni Bonucci na sio Buffon.
Mkuu nilikuwa namaanisha Bonucci. Najua kwamba kipa hahesabiwiJamani kumbukeni katika hizo formations 3-5-2, 4-4-2, 4-3-3, etc etc Kipa huwa hahesabiwi ni outfielders tu wanaowekwa katika hizo formations. Timu huwa inawachezaji 11 sio 10 kama idadi ya wachezaji katika hizo formations.
Haya Germany na Italy naona ngoma itakuwa draw hadi penati...
Leo kazi ipo,kiherehere cha Boateng kunyoosha mikono
HahahaaDaah wanatuchelewesa kulala tu
Sawa mamaa..Posibly yesUpo sawa ndiyo ila kwa asilimia 99.99
Kazingua kweli boateng dahHahahaa
Hata mi naona hvo , wa kufungwa angefungwa mapema tutawanyike
mweusiLeo kazi ipo,kiherehere cha Boateng kunyoosha mikono
Aombe washinde,wakitolewa wewe tembelea page yake ya insta utayaona matusi atakavyotukanwamweusi