Kuelekea Euro 2016: Timu zipi unazipa nafasi ya kufanya vyema?

Jamani kumbukeni katika hizo formations 3-5-2, 4-4-2, 4-3-3, etc etc Kipa huwa hahesabiwi ni outfielders tu wanaowekwa katika hizo formations. Timu huwa inawachezaji 11 sio 10 kama idadi ya wachezaji katika hizo formations.

Haya Germany na Italy naona ngoma itakuwa draw hadi penati...
 
Mkuu nilikuwa namaanisha Bonucci. Najua kwamba kipa hahesabiwi
 
Haya ile wanayoita mental strength ndio itaanza kuthibitishwa kuanzia sasa... Germany 1-1 Italy
 
Back
Top Bottom