Jinsi anavyotibua mipango ya wapinzaniKwa vipi mkuu?
benzema ana kashfa,nasry ametoka majeruhii,ribery naye alikua na injury kwa muda mrefuDuniani kuna vituko! Sasa huyu kocha (DESCHAMPS) Alichofanya ni nini hasaa? Ni ubaguzi ama ni nini hasaa? Why hakuwachukua WAARABU kwenye kikosi hicho,badala yake amewaingiza ****** wasiojua chochote
Benzema
Ribery
Nasry
Ben Arfa
hahaha...kwelimkuuMshambuliaji wa Romania Andone anafanyiwa rafu na beki wa France Koscielyn na kuangushwa chini lakini mwamuzi anapeta hiyo.
"Mcheza kwao hutuzwa".
Goli ni 0-0
Benzema na wenzake hawawezi itwa sababu ya ile kesi yao ya ngonoDuniani kuna vituko! Sasa huyu kocha (DESCHAMPS) Alichofanya ni nini hasaa? Ni ubaguzi ama ni nini hasaa? Why hakuwachukua WAARABU kwenye kikosi hicho,badala yake amewaingiza ****** wasiojua chochote
Benzema
Ribery
Nasry
Ben Arfa
Jinsi anavyotibua mipango ya wapinzani
uyo #ngolo kante ni #shda nn ule #moto wa #leicestercity ameuamishia #EURO Nn siko na watch game plse...for the 1st half nan ni best player kwa timu zote mbili??Nimechukua "note" hiyo mkuu maana Arsene Wenger nae yupo pale chini akiwa pundit kwenye French TV.
Ametoa mawazo yake kwa N'golo Kante ambayo ni chanya sana.
Makapuku ForumLETENI UPDATES VIJANA
hivi Romania wanajua mpira?
Best Player wa Romania mpaka sasa ni mchezaji wa kiungo Mihai Pantilii ambae anaunganisha vizuri walinzi na washambuliaji.uyo #ngolo kante ni #shda nn ule #moto wa #leicestercity ameuamishia #EURO Nn siko na watch game plse...for the 1st half nan ni best player kwa timu zote mbili??
Ngolo Kante mpaka sasa ameshine sanauyo #ngolo kante ni #shda nn ule #moto wa #leicestercity ameuamishia #EURO Nn siko na watch game plse...for the 1st half nan ni best player kwa timu zote mbili??