Kuelekea Euro 2016: Timu zipi unazipa nafasi ya kufanya vyema?

Kuelekea Euro 2016: Timu zipi unazipa nafasi ya kufanya vyema?

Griezmaaann ,anatoa pembeni ya goli!

Goli ni 0-0
 
Duniani kuna vituko! Sasa huyu kocha (DESCHAMPS) Alichofanya ni nini hasaa? Ni ubaguzi ama ni nini hasaa? Why hakuwachukua WAARABU kwenye kikosi hicho,badala yake amewaingiza ****** wasiojua chochote

Benzema
Ribery
Nasry
Ben Arfa
benzema ana kashfa,nasry ametoka majeruhii,ribery naye alikua na injury kwa muda mrefu
 
siwatch game plse hw is #romania team playing wako vizur sana nn manake #france sio mchezo #pogba #matuidi #griezman #payet nk
 
Mpira unaenda mapumziko magoli yakiwa ni 0-0

France wameshindwa kukidhi matarajio ya wafaransa kwamba wangeshinda mechi hii kirahisi.

Si Giroud wala Pogba wala Payet wala Griezmann ambao wamefurukuta.

Romania wamejipanga wakicheza kwa mpango maalum wa kuwazuia viungo mahili wa France Kante, Pogba na Matuidi hivyo wao kukosa kuwapa mipira mizuri ya kufunga washambuliaji wa France.
 
Nimechukua "note" hiyo mkuu maana Arsene Wenger nae yupo pale chini akiwa pundit kwenye French TV.

Ametoa mawazo yake kwa N'golo Kante ambayo ni chanya sana.
uyo #ngolo kante ni #shda nn ule #moto wa #leicestercity ameuamishia #EURO Nn siko na watch game plse...for the 1st half nan ni best player kwa timu zote mbili??
 
uyo #ngolo kante ni #shda nn ule #moto wa #leicestercity ameuamishia #EURO Nn siko na watch game plse...for the 1st half nan ni best player kwa timu zote mbili??
Best Player wa Romania mpaka sasa ni mchezaji wa kiungo Mihai Pantilii ambae anaunganisha vizuri walinzi na washambuliaji.
 
Back
Top Bottom