Nadhani hatua za mpira wa ujanjaujanja zimeisha.France wananifuta machozi Leo maana hawa Iceland walitutoa hahaha
Kabisa mkuu..Leo mtelezo tuMechi kama hii ndio ya kutafuta mfungaji bora.
HahaaaaaaaNgoja nilale...hamna maajabu ya Liverpool ya kurudisha goli 4
Hahaaaa ngoja tumpumzishe kama waitaliano wanavyoomba tusimsemeKuna wachezaji wanapiga penati nahisi hadi wanajishangaa
Hahaaaaaa..Wana kazi semi finalThe end of EURO 2016's Cinderella team.