Kuelekea Euro 2016: Timu zipi unazipa nafasi ya kufanya vyema?

Kuelekea Euro 2016: Timu zipi unazipa nafasi ya kufanya vyema?

Na kama akifunga zaidi basi "price tag" yake itabadilishwa.

Paul Pogba, Kart Zouma na Samuel Umtiti walicheza football ya uhakika mwaka 2013 France ilipokuja kunyakua kombe la Euro 2013 kwa vijana chini ya miaka 20.

Mzee AF alikosea sana kumtoa pale OT wakti ule, ooops! Herera asije akaona hii.
Hahaaaa saa hii wanajilaumu hasa ukizingatia ilikuwa free transfer
 
France ndiyo mabingwa nilitabiri toka siku ya ufunguzi.

Sijaelewa wafaransa wana maoni gani juu ya timu yao maanake kati ya wachezaji 23 wale 12 ni wenye asili ya Afrika.

Didier Deschamps anaangalia quality na sio quantity ya wachezaji.

Sasa unaunda timu ya taifa na uwaache nje Blaise Matuidi, Paul Pogba, Samuel Umtiti, Ng'olo Kante na wengine, utakuwa na kasoro.
 
France ndiyo mabingwa nilitabiri toka siku ya ufunguzi.

Sijaelewa wafaransa wana maoni gani juu ya timu yao maanake kati ya wachezaji 23 wale 12 ni wenye asili ya Afrika.
Kuhusu ubingwa bado wana kazi ya kufanya..Wanakutana na German semj final,pagumu sana hapo. Nawapenda France lakini kiukweli German wako vizuri
 
Wajukuu wa Hitler wanawaangalia tu. France lazima apigwe kwao
 
Mkuu ile semi final ya 2014 kule brazil naona kama inataka kujirudia hivi pale france
 
England are you watching? England vous regardent? 3-0
 
hii ni aibu kwa england kuonesha si lolote ktk soka goli la 3 payet
 
Griezmaaaaann 4-0 up

Hii ni aibu sasa

Kwa hiyo hawa Iceland walikuwa na ajenda na England ama?
 
Back
Top Bottom