Kuelekea Euro 2016: Timu zipi unazipa nafasi ya kufanya vyema?

Kuhusu ubingwa bado wana kazi ya kufanya..Wanakutana na German semj final,pagumu sana hapo. Nawapenda France lakini kiukweli German wako vizuri

Kwa mpira waliocheza mfano jana,German watasubiri kwa France.

Hii combination ya ma-nigga ni shughuli.

BTW:Mpira unadunda kiongozi lolote linawezekana.
 
Ndugu hii sentesi yako ya mwisho inahitaji moyo kuwaambia Iceland.
 
Iceland wamefanya mabadiliko.

Ingason na Finnbogason wameingia badala ya Bodvarsson na Arnason.
 
Iceland 1 France 4

Kolbein Sigthorsson anaifungia Iceland goli la kwanza baada ya kuunganisha pasi ndefu ya
 
Leo yatatokea yale ya Germany vs Brazil
 
Halafu wanalaumu kwamba foreigners kwenye BPL wanaifanya ikose vipaji vyao. Timu yao ilisheheni majina makubwa makubwa na wengi walifanya vizuri sana kwenye BPL. Upangaji wa timu na wachezaji kutocheza kwa ari kumechangia wao kufungashwa virago. Mechi ya kwenda quarter finals unacheza kama mechi ya kirafiki? Ni lazima upigwe tu.

England wachovu tu..Mpira wao wa mdomoni,uwanjani zero
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…