Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawakujipanga,aliweka vijana wengi ambao hawana experience na mechi za kimataifa. Kingine kocha hana sifa za kutosha ingawa wanag'ang'ania mwingereza mwenzao. Juzi Kevin Kegan alikua anaulizwa mwingereza yupi anafaa kuwa kocha akasema hakuna,kama timu wanataka ifike mbali watafute kocha ambae sio mzawa. Vyombo vya habari vinawapaisha tu huku hamna kitu.Halafu wanalaumu kwamba foreigners kwenye BPL wanaifanya ikose vipaji vyao. Timu yao ilisheheni majina makubwa makubwa na wengi walifanya vizuri sana kwenye BPL. Upangaji wa timu na wachezaji kutocheza kwa ari kumechangia wao kufungashwa virago. Mechi ya kwenda quarter finals unacheza kama mechi ya kirafi!? Ni lazima upigwe tu.
Giroud apumzike asije akapata njano nyimgine akose semi final..Safi kocha
Huyo jamaa kwa kujifunga ndo mwenyewe..Either atoe boko au ajifunge. Ngoja tuoneMangala kaingia? Mmmh ajali itatokea
Britich wana wivu sana,wameona wapoland wanapiga kazi na wanatajirika,wakaanza kulalamika wageni wanachukua kazi zao,mpaka wameamua kupiga kura za leave Eu,nakuambia hata hili la wachezaji ipo siku watapiga burn wachezaji foreignerz,utaniambia.Sema tu kwa vile team zao nyingi kwa sasa zimenunuliwa,ila watapunguza idadi ya wachezaji wageni kama sio kufuta kabisa,wa England wana wivu sanaHalafu wanalaumu kwamba foreigners kwenye BPL wanaifanya ikose vipaji vyao. Timu yao ilisheheni majina makubwa makubwa na wengi walifanya vizuri sana kwenye BPL. Upangaji wa timu na wachezaji kutocheza kwa ari kumechangia wao kufungashwa virago. Mechi ya kwenda quarter finals unacheza kama mechi ya kirafiki? Ni lazima upigwe tu.
Hawakujipanga,aliweka vijana wengi ambao hawana experience na mechi za kimataifa. Kingine kocha hana sifa za kutosha ingawa wanag'ang'ania mwingereza mwenzao. Juzi Kevin Kegan alikua anaulizwa mwingereza yupi anafaa kuwa kocha akasema hakuna,kama timu wanataka ifike mbali watafute kocha ambae sio mzawa. Vyombo vya habari vinawapaisha tu huku hamna kitu.
Sio kabisa..Wao kama wameshindwa kuzalisha wachezaji wazuri wasilaumu clubs zikichukua wachezaji nnje ya UK.Britich wana wivu sana,wameona wapoland wanapiga kazi na wanatajirika,wakaanza kulalamika wageni wanachukua kazi zao,mpaka wameamua kupiga kura za leave Eu,nakuambia hata hili la wachezaji ipo siku watapiga burn wachezaji foreignerz,utaniambia.Sema tu kwa vile team zao nyingi kwa sasa zimenunuliwa,ila watapunguza idadi ya wachezaji wageni kama sio kufuta kabisa,wa England wana wivu sana
Umesema vyema mkuuUingereza wameharibu kwa kuibinafsisha Premier league yao.
Ukifanya hivyo huwezi kuwa na timu nzuri ya taifa maana timu zote zina mameneja wa kigeni na wachezaji wa kigeni yaani watano wa kigeni na watano wa Uingereza.
Wakitaka kuwa na timu nzuri ni kuwatayarisha wachezaji wao mahili kama beckam ambao wao nao wameamua kuwa na biashara zingine baada ya kustaafu au kuwa pundits ili wakae pembeni na waanze kupiga kelele.
Uingereza ina wachezaji mahili sana lakini hakuna mfumo mzuri wa kuwaandaa kwa international level.
Germany, Italy, France na Spain hazina mameneja wageni na wachezaji wageni wanadhibitiwa katika ama Bundesliga, Serie A, League 1 na La Liga au katika academy za chipukizi.
Ni mfumo wa uendeshaji wa mpira ndio hauko sawa kama vile TFF tu.
Nchi lazima iwe na identity ya mpira wake na ndio twaona hizo nchi nilizozitaja zikionyesha hilo.
Uingereza wanacheza sana individually na sio kama timu.
Na hilo ni kosa la meneja ambae nae hana mbinu nzuri za ufundishaji.
Leo yatatokea yale ya Germany vs Brazil
Ingekua 3-2 wangeweza kurudisha..Leo wameotewa tu.Hawa jamaa nimewaheshimu. Bado wana roho ya paka. Hawafi hawafi.
Britich wana wivu sana,wameona wapoland wanapiga kazi na wanatajirika,wakaanza kulalamika wageni wanachukua kazi zao,mpaka wameamua kupiga kura za leave Eu,nakuambia hata hili la wachezaji ipo siku watapiga burn wachezaji foreignerz,utaniambia.Sema tu kwa vile team zao nyingi kwa sasa zimenunuliwa,ila watapunguza idadi ya wachezaji wageni kama sio kufuta kabisa,wa England wana wivu sana
Britich wana wivu sana,wameona wapoland wanapiga kazi na wanatajirika,wakaanza kulalamika wageni wanachukua kazi zao,mpaka wameamua kupiga kura za leave Eu,nakuambia hata hili la wachezaji ipo siku watapiga burn wachezaji foreignerz,utaniambia.Sema tu kwa vile team zao nyingi kwa sasa zimenunuliwa,ila watapunguza idadi ya wachezaji wageni kama sio kufuta kabisa,wa England wana wivu sana
Game imeshaisha hiyo..Hawa France hapa naona wanazubaa hapa