Majighu2015
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 2,937
- 3,959
Kabisa mdau..Wakijipanga mashindano yajayo wanaweza kufika mbali zaidi.Iceland wameweka rekodi safi sana ya kucheza robo fainali ya Euro
Wana kila sababu ya kujidai
Swadakta maneno yako jamaa wamejitutumua ila uwezo umeishia hapo ila nadhani ni stapping stone nzuri kwa majaaliwa ya soka yao kama watawekeza zaidi dhahiri siku za usoni sio timu ya kuibeza.Iceland wanafahamu kwamba Giroud na Koscielny wana kadi za njano hivyo wanaweza kutengeneza kesi lakini huku wakizuia wasifungwe goli la tano.
Ila Didier Deschamps atawatoa
Mario Gomez hatocheza kaumia,ila Germany ni stronger than France,ngonja tutaona hope France nao wataresist,kama jana German walivyoresist kwa Italy
Nimependa spirit yao..Wako vizuri,UK ilikua haki yao kutolewa na Iceland.Tunawashkuru Iceland kwa kushiriki nimeipenda passion yao ... ingawa wamepigwa 5 ila magoli yao 2 ni classic
#TeamFrance all the way up
Swadakta maneno yako jamaa wamejitutumua ila uwezo umeishia hapo ila nadhani ni stapping stone nzuri kwa majaaliwa ya soka yao kama watawekeza zaidi dhahiri siku za usoni sio timu ya kuibeza.
Cant wait
Nitamis sana style yao ya ushangiliaji..Wanapiga makofi hatariiThe fairytales is over .. [emoji123] [emoji123] [emoji123] [emoji123]
Kabisa mdau..Wakijipanga mashindano yajayo wanaweza kufika mbali zaidi.
Ile ipo kwa ajili ya andunje na mwenzie roboti.. Tusubr miaka miwil ijayo mambo itakuwa free kwa wengineGhafla Wales kabeba Euro 2016.
Je Fifa watampa Gareth Bale Ballon D'ior?
Maana atakuwa ameipa taji timu ya taifa na klabu pia kaipa taji la ligi ya mabingwa.
Nitamis sana style yao ya ushangiliaji..Wanapiga makofi hatarii
Kabisa mkuu..Wako serious sana na mpira. Ni greatest move wameonyesha kwa mara ya kwanza kuingia kwenye haya mashindano. Wameonyesha hakuna kinachoshindikana kama mkijipanga. TZ tutaishia kwenye uchawi tu na kucheza challenge basi.Watakuwa wamegain confidence ya hali ya juu kwamba pamoja na udogo wa nchi yao kumbe na wao wanaweza kupambana na mataifa makubwa yenye wachezaji wenye majina makubwa. Ukubwa wa pua.......
Wamenikumbusha Leiceater city,from zero to hero. Ingekua uero ni ligi basi wangeshika nafasi nafasi za juuWamenifurahisha sana pamoja na kufungwa leo bado walienda kwenye jukwaa la washangiliaji wao na kuanza kushangilia kwa pamoja. Wamesaidia sana kuyachangamsha mashindano haya.
Dechamps asije akamuazisha chizi Mangala mechi ijayo,ataharibu kila kitu. Haeleweki yuleIceland ni timu nzuri, zile goli za mapema ndio zilizowaweza.. Ila ile defense ya chama langu ufaransa iwe makin na ujeruman..
Naimani ndio maana akamtoa koscienly mapema kumuepusha na cardDechamps asije akamuazisha chizi Mangala mechi ijayo,ataharibu kila kitu. Haeleweki yule