Kuelekea Euro 2016: Timu zipi unazipa nafasi ya kufanya vyema?

Leo utawasikia Bale is better than Cristano Ronaldo and the'll troll him till the end of the game. Baadae watasema Bale didn't do anything kukosa Aaron Ramsey Wales wasingeingia hata 16. Hii football tangu imeingia kwenye internet wataalamu wameongezeka.
 
Leo nipo against Wakoloni wa Msumbiji.... Nangu nangu najua watashangilia wakoloni wao. Come on Wales...
 
Umeiona cover page ya marca ya leo?
MARCA: And who do you support?

And this is AS
 
Nimesikia wachezaji wamepigwa marufuku na UEFA kuingiza familia zao uwanjani wakati wa kushangilia ushindi. Kwa mtazamo wangu naona kwa hili UEFA wanaleta mambo ya mwendokasi kama serikali ya Magufuri wakiamka asubuhi na wake zao wanapiga marufuku tu bila maelezo
 
Hizi staili za kona na free kick tutaziona kwa sana ligi zikianza..
 
Hii ngoma wasipoangalia Wales wanaweza kupigwa hii. Portugal naona middle yote yao
 
Hii ngoma wasipoangalia Wales wanaweza kupigwa hii. Portugal naona middle yote yao

Kweli mkuu Middle ya Wales imepwaya, Ramsey hayupo na sijui kama kuna mwingine amekosekana...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…