Kuelekea Euro 2016: Timu zipi unazipa nafasi ya kufanya vyema?

Kuelekea Euro 2016: Timu zipi unazipa nafasi ya kufanya vyema?

Leo utawasikia Bale is better than Cristano Ronaldo and the'll troll him till the end of the game. Baadae watasema Bale didn't do anything kukosa Aaron Ramsey Wales wasingeingia hata 16. Hii football tangu imeingia kwenye internet wataalamu wameongezeka.
 
Leo nipo against Wakoloni wa Msumbiji.... Nangu nangu najua watashangilia wakoloni wao. Come on Wales...
 
I don't like such kind of journalism of Ben Hayward, Goal.com, ESPN FC and the likes. It's like they're hired to troll Cristiano in anything he does and praise the opposite side. Haipendezi kuona hata vyombo vya habari za michezo nazo zinaandika Gossip badala ya kutoa report. Kwa ujumla media za kisasa zinasikitisha sana, they have to emotionally hurt somebody everyday ndio maisha yaende. Sasa naogopa hata kumshawishi junior kuhusu kazi uandishi wa habari naona kama ni evil job tu.
Umeiona cover page ya marca ya leo?
MARCA: And who do you support?
c293f036c15bd56ba250bf87e305229c.jpg

And this is AS
8cf0079adacb6595763350e8056f4050.jpg
 
Nimesikia wachezaji wamepigwa marufuku na UEFA kuingiza familia zao uwanjani wakati wa kushangilia ushindi. Kwa mtazamo wangu naona kwa hili UEFA wanaleta mambo ya mwendokasi kama serikali ya Magufuri wakiamka asubuhi na wake zao wanapiga marufuku tu bila maelezo
 
Hizi staili za kona na free kick tutaziona kwa sana ligi zikianza..
 
Hii ngoma wasipoangalia Wales wanaweza kupigwa hii. Portugal naona middle yote yao
 
Hii ngoma wasipoangalia Wales wanaweza kupigwa hii. Portugal naona middle yote yao

Kweli mkuu Middle ya Wales imepwaya, Ramsey hayupo na sijui kama kuna mwingine amekosekana...
 
Back
Top Bottom