Kuelekea Euro 2016: Timu zipi unazipa nafasi ya kufanya vyema?

Dah safari ya Wales inaelekea kuisha kabla ya dakika 70...
 
Benfica huyu Renato Sanchez wamemuuza haraka sana matokeo wamekosa hela nzuri.
 
Bado siamin kama ureno watatwaa ubingwa mbele ya france na germany
 
Danilo anaonekana ni very good defensive midfielder.. Muda si mrefu Porto watamuuza kwa bei mbaya.
 
Portugal sasa sio kismati ni uwezo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…