Kuelekea Euro 2016: Timu zipi unazipa nafasi ya kufanya vyema?

Kuelekea Euro 2016: Timu zipi unazipa nafasi ya kufanya vyema?

Dah safari ya Wales inaelekea kuisha kabla ya dakika 70...
 
Benfica huyu Renato Sanchez wamemuuza haraka sana matokeo wamekosa hela nzuri.
 
Pale mnapokuwa mmepigwa goli za fasta na katimu uchwara
Cmsfbh3XgAAeg0I.jpg
 
Danilo anaonekana ni very good defensive midfielder.. Muda si mrefu Porto watamuuza kwa bei mbaya.
 
Back
Top Bottom