Polisi jamii
JF-Expert Member
- Mar 22, 2013
- 2,604
- 1,381
Wales pia walishangilia ushindi wa Iceland dhidi ya England,hao nao huo muungano wao wa kinafikiNasikia England wanashangilia ushindi wa Portugal
Wales pia walishangilia ushindi wa Iceland dhidi ya England,hao nao huo muungano wao wa kinafiki
weka akiba ya manenoWell done Ronaldo mkwepa kodi kashindwa coppa huko leo kahukumiwa hahaaaahaaaaaaaaa
[emoji81] [emoji81] [emoji81] [emoji81] [emoji81] [emoji81]weka akiba ya maneno
Siweki Mkuu hahahaaaaweka akiba ya maneno
Wales has been the third best team in this game.. Two quick goals killed it.... Lakini Portugal watagonga ukuta kwa Wajerumani.
HahahaSiweki Mkuu hahahaaaa
Mkuu ila ndugu zenu wamejitahid kuliko nyie
Siweki Mkuu hahahaaaa
Wamejitahidi sana tatizo walitucheka hawaMkuu ila ndugu zenu wamejitahid kuliko nyie
Today take the positives kafunga goli na ka assist that is enoughHuyu Ronaldo anakosa magoli ya wazi mengi sana. Next season Santiago Bernabéu akifanya hivi tutampa makofi