Lizarazu
JF-Expert Member
- Aug 23, 2015
- 6,333
- 7,879
Yet to see them face a real big challenge, let's see their power against giant team on sunday!If France go through tomorrow,I can see Portugal winning this.
I just give them very slim chance!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yet to see them face a real big challenge, let's see their power against giant team on sunday!If France go through tomorrow,I can see Portugal winning this.
Mkuu #CR7 anawaprove watu wrong wataelewa tu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] siyo vizuri kumwambia mwenzio ukweli mchunguHahahaha
Halaf wamefungwa na best loosers
Ambao walishndwa kuwafunga tim ilo watoa nyie
Kuna Watu wanaficha sura zao sasa hiviMkuu #CR7 anawaprove watu wrong wataelewa tu
Hahaaaa humu wanapaona pachungu maana kila siku memes zao zinawadodeaKuna Watu wanaficha sura zao sasa hivi
Lazima wakimbie hahahaHahaaaa humu wanapaona pachungu maana kila siku memes zao zinawadodea
Kwa hiyo na arsenal nao ni giant of the giants?Kweli Real Madrid ni The Giant of Giants, yaani nusu fainali imeingiza wachezaji zaidi ya watatu.
Mbona na wao wameingiza wachezaji zaidi ya watatuHapana, ni Giant of the Non-Giants.
Hawana mchango mkubwa klabuni kwao.Mbona na wao wameingiza wachezaji zaidi ya watatu
Ngoja waje wahusikaHawana mchango mkubwa klabuni kwao.
Ngoja apeleke kombe Lisbon kabisaNa bado kuna uwezekano wa kuvunja rekodi ya Platini. Huyu ndiyo mnyama bana..View attachment 363782
Charles de gaule alimkimbia Hitler,alikimbilia London kwa Chichil,Hitler alitamba sana kuichukua Paris.Thanks to spirit ya resistence ya de gaule,akawaambia wafaransa waendelee kuresist maana wameshindwa battle na siyo vita,at the end Hitler alishindwa kwa aibu akajiua,sasa sijui leo France wataresist?tusubiri dakika 90Akiba ya maneno kama itanihusu huko mbele sawa ila kwa sasa nasema hivi niliona fainali ya kwanza kati ya Hitler na mussolin na leo nitaona fainali ya mwisho kati ya Hitler na Charles de gaulle baada ya hapa hakutakuwa na fainali nyingine.