Kuelekea Euro 2016: Timu zipi unazipa nafasi ya kufanya vyema?

If France go through tomorrow,I can see Portugal winning this.
Yet to see them face a real big challenge, let's see their power against giant team on sunday!

I just give them very slim chance!
 
Tukiacha uongo hili fly Header ni hatari sana



Ufungaji yupo nafasi ya pili ... ukiacha na na hiyo cheki stats zake alizoweka

#mchezaji pekee aliyefunga Euro 4

#sasa amefungana na Platini kuwa mfungaji wa muda wote (goal 9)

#mchezaji pekee kucheza semi finals tatu




Huyu jamaa Mnafki muda mwingine kila siku anawatuliza wenzake tu .... eti Portugal tulikuwa na ndoto ya kucheza final na imetimia teeeehe

Ni vema kuanza vibaya kisha kumaliza vizuri

#CR7 #TeamPortugal all the way up mwali wa Lisbon



Balloon d'or yetu hii cc Mussolin5 PNC 1
 
Nilisafiri kidogo waungwa!Kijijini net ya taabu sana lkn hongereni mnalisongesha bado gurudumu

Wengi sana mna dhani kuwa Germany atapita leo
Nawaambieni mpo wrong sana

France anapita leo
 
Kweli Real Madrid ni The Giant of Giants, yaani nusu fainali imeingiza wachezaji zaidi ya watatu.
 
Akiba ya maneno kama itanihusu huko mbele sawa ila kwa sasa nasema hivi niliona fainali ya kwanza kati ya Hitler na mussolin na leo nitaona fainali ya mwisho kati ya Hitler na Charles de gaulle baada ya hapa hakutakuwa na fainali nyingine.
 
Akiba ya maneno kama itanihusu huko mbele sawa ila kwa sasa nasema hivi niliona fainali ya kwanza kati ya Hitler na mussolin na leo nitaona fainali ya mwisho kati ya Hitler na Charles de gaulle baada ya hapa hakutakuwa na fainali nyingine.
Charles de gaule alimkimbia Hitler,alikimbilia London kwa Chichil,Hitler alitamba sana kuichukua Paris.Thanks to spirit ya resistence ya de gaule,akawaambia wafaransa waendelee kuresist maana wameshindwa battle na siyo vita,at the end Hitler alishindwa kwa aibu akajiua,sasa sijui leo France wataresist?tusubiri dakika 90
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…