Kuelekea Euro 2016: Timu zipi unazipa nafasi ya kufanya vyema?

Ufaransa Hawa hawawezi kuchukua hili kombe japo linachezwa nyumbani kwao.
Kweli kabisa hawana timu ya kuchukua kombe hawa, nawasubiri wabelgiji na ujerumani Ndio nawapa nafasi sana
 
Romania wanafanya mabadiliko mengine na Alexandre Chipsiu anaingia badala ya Nicolae Stanslau.

Dakika inakwenda ya 73 goli ni 1-1
 
Mpira sasa umetulia na kila timu inacheza kwa tahadhari.

France wanatakiwa wafanye mabadiliko ii washinde hii mechi.
 
France wanafanya mabadiliko

Paul Pogba anatoka na Antony Martial anachukua nafasi yake
 
Torje anaingia kuchukua nafasi ya Adrian Popa ni mabadiliko ya mwisho kwa Romania.
 
Kweli kabisa hawana timu ya kuchukua kombe hawa, nawasubiri wabelgiji na ujerumani Ndio nawapa nafasi sana


Kweli kabisa Ujerumani, Ubelgiji na Portugal pia. Na defending champion pia usiwadharau, hawana timu ya kutisha lakini ile mchezo wao Ni tofauti sana.
 
Zimebakia dakika 8 na za nyingeza mpira uishe na Romania wanataka kuharibu sherehe za ufunguzi.
 
Wafaransa wameanza kucheza mpira wao wa asili wa kiafrika miguvu tu bila akili
 
Rumania wanaweza kushinda hii mechi. Dakika tank nyingi sana
 
Payeeeeeeeeeet 2-1

Special Goal!!

Dimitri Payet ametoa pasi iliyosababisha goli la kwanza na safari hii anafunga special goal

France 2 Romania 1

It's as simple as that.
 
[emoji3] [emoji3] [emoji3] Utakaa Kimya Tu Ndugu Yangu, Ngoja Tuchukue Ndoo Ubadilishe Akaunti Humu.
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] England hiii ya sasa haa haa has usnivunje mbv mkuu n sawa na kuitabiria arsenal wanatwa UEFA[emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…