Kuelekea Euro 2016: Timu zipi unazipa nafasi ya kufanya vyema?

Kuelekea Euro 2016: Timu zipi unazipa nafasi ya kufanya vyema?

Umri wa mabeki wa France wanaoshiriki Euro Evra (35 ) Sagna (33) Koscienly(30) Rami (30) Jallet (32)
Ufaransa sio sawa na Tanzania kuna vijana kina Samuel Umtiti,Lucas Digne wanapigwa benchi,Evra alicheza timu mmoja na kina Anelka,Henry,Gallas,Malouda

Yaani hata Zidane bila kustaafu mwenyewe mpaka Leo angekuwa anacheza timu ya taifa. Teh teh teh
 
Dimitri Payet anapumzishwa na nafasi yake inachukuliwa na Mousa Sissoko
 
France hii iliyojaa black inanikumbusha USA ya world Cup 1998 pale France ilikuwa hivi
 
That's it, ni full time

France 2 Romania 1

France wanashinda mechi ya kwanza ya ufunguzi wa michezo hii ya Euro 2016

France walianza kukaza nati baada ya mapumziko na wakawa wanasogea zaidi ndani ya eneo la Romani ambao walikuwa wakitumia mtindo wa kujihami.

Hivyo Blaise Matuidi na N'golo Kante wakawa wanakaza Kamba huku Kante akipalilia mashambulizi ya France.

Lakini umahili wa Dimitri Payet AM wa West Ham ya England ndio umeisaidia timu hiyo kwa kumruhusu Payet acheze nafasi yake anayocheza akiwa West Ham na France wameshinda mechi kwa kutoa jasho hasa.

Payet ana uwezo na ujuzi wa kupangua ngome ya timu pinzani na pia kuwatenganisha mabeki.

Hivyo ndivyo alivyofanya kwa kutoa pasi ya juu ilioenda kwa Giroud ambae akafunga kwa kichwa na pia yeye mwenyewe Payet kujitengenezea nafasi ya kufunga kutokea mbali.
 
Rumania tatizo kiwango. East Europe mpira umekufa kabisa
 
b5ffb668591cfe78d4b70393695dfa54.jpg
 
France pamoja na kushinda leo lakini defence yao ni mbovu kina Evra,Sagna wameshazeeka,wakikutana na timu zinazojua kutumia nafasi(Germany) watapata tabu sana
 
Rumania tatizo kiwango. East Europe mpira umekufa kabisa

Mkuu, Romania ni nchi maskini sana haina uwezo mkubwa wa kukuza vipaji vya mpira kama wa nchi za Germany au Spain.
 
Umri wa mabeki wa France wanaoshiriki Euro Evra (35 ) Sagna (33) Koscienly(30) Rami (30) Jallet (32)
Ufaransa sio sawa na Tanzania kuna vijana kina Samuel Umtiti,Lucas Digne wanapigwa benchi,Evra alicheza timu mmoja na kina Anelka,Henry,Gallas,Malouda
Ukongwe nao unasaidia...
 
Back
Top Bottom