Kuelekea Euro 2016: Timu zipi unazipa nafasi ya kufanya vyema?

Kuelekea Euro 2016: Timu zipi unazipa nafasi ya kufanya vyema?

Go England
Mkuu unashangilia hii timu ya modeling promotion kwa kumaanisha ama utani?

b7472c27c4881bf2cf9436910d336939.jpg

eb07dda49624e36a416a706b3e6beb02.jpg
 
inamaana uturuki naishabkia mwenyewe, mbona ina ligi bora kushinda ya ubeligiji. Na inaongoza kwa washabiki wenye mihemko kuliko wote ulaya hata england haifui dafu. NIPO UTURUKI THE OTTOMAN EMPIRE,kwao na Ozil
 
Sasa Mkuu Yale Madeni Ulikuwa Huyaoni?!. Ulikuwa Mpango Wa Muda Mrefu Ule Wew Unafikiri Ilikiwa Safari Ya Kutoka Post Ti Tegeta?!.

Mimi Sio Ganaz Ni Man Utd Pure Lakn Nawasifu Arsenal Coz Usajili Wao Ni Wakaiwada Sana Miaka Yote Lakn Wanaingia UEFA Sio Wew Liverpul[emoji85] [emoji134] Japo Msimu Nanyi Mtakuja Poa Sana Co Klopp Kocha Mzuri.

Mkuu Nakwambia Kweli, England Nethelands, France, Wako Poa Sana.

Wew Unatupa Karata Yako Wapi?! Sema Mkuu Mbona [emoji87]
Timu ya Arsenal ni ya kupigania hilo kombe la UEFA sio kuwa wasindikizaji siku hizi hata hilo la England wamekuwa wasindikizaji,Mimi timu zangu ulaya ni Ujerumani na Italia
 
Timu ya Arsenal ni ya kupigania hilo kombe la UEFA sio kuwa wasindikizaji siku hizi hata hilo la England wamekuwa wasindikizaji,Mimi timu zangu ulaya ni Ujerumani na Italia
Kiongozi Msimu Huu England Wako Poa, Utanambia. Hata Arsenal Next Season Hutaamini
 
Mkuu sijui tuko pamoja kweli humu au sijui inakuwaje, maana hao the Nertherlands unaodai Wako sawa wameshindwa hata kuingiza timu kwenye zile fainali. Sasa wana timu nzuri kivipi? France kila mtu kaona ile game Yao sio ya kuchukua kombe. Rumania wameshindwa kujipanga Tu. Uingereza tunawajua Ni wazee wa promo Tu. Timu za Portugal, Ujerumani na Belgium ndio zenye kiwango we unawadharau? Spain pia, wana uwezo wa kubadilisha game uwanjani kwahiyo don't underestimate the tik tak.
We Ngoja Utanikimbia Humu Mkuu Siku England Anafika Fainali
 
Nimeangalia England tangu 1996 miaka inavyozidi kwenda ndio timu inakuwa mbovu,sidhani kama watavuka robo fainali
Sawa Bana Mi Sitaki Tubishane Lakn Itakubali Tu Na Utanitafuta Unipe Zawadi.
 
Mechi za leo:
Uswizi Vs Albania saa 10 jioni
Wales Vs Slovakia saa 1 jioni
England Vs Russia saa 4 Usiku.
Anaye idharau A lbania HAJUI SOKA
Keeper ni Etrish Berisha wa Lazio ya Italy
Pembeni kama kawaida Elysed Elshaj(Napoli),Naser Halij(Basel),Loric Can(Nantes) na Frederic Vesel(Lugano)

Kati likely akaanza Taulant Xaka(Basel),Burim Kukeri(Zurich),Armir Abrash(Freisburg) na Ledjan Memushaj(Pescara).
Pale mbele akasimama kama kawaida Bekim Balaj na Shklezen Gosh wa Colorado

Albania is real deal!Team to watch!Tukutane saa moja inayofuatia na Uswis wasijidanganye kama watamfunga Albania easy!Utapigwa mwingi sana leo
 
Ckq60CJWkAAPgbB.jpg
 
Timu ya Arsenal ni ya kupigania hilo kombe la UEFA sio kuwa wasindikizaji siku hizi hata hilo la England wamekuwa wasindikizaji,Mimi timu zangu ulaya ni Ujerumani na Italia
True ila mie England na Italy miaka yote ila nakubaliana na England timu ya gazeti kama Taifa stars na England kama ilikuwa ishinde ni rnzi zile wana kina Scholes,Rio, SG kina Sol Xambel ila kipindi kile, England ile nzuri ila tatizo walikuwa hakuna umoja waliweka club zao mbele football kuelewana kwa pamoja, humu utawaona wenye timu 6 kila inayotolewa utasikia mie sasa hii hehehe so naganda na England na Italy na ndama zangu itakuwa Albania na Wales.
 
Kama hufahamu katika mechi hii kuna mtu na kaka yake Taulant Xhaka (mkubwa) na Granit Xhaka (mdogo).

Ni mara ya kwanza kuona ndugu wawili wakichezea mataifa tofauti.

Kwa asili wote wanatoka Albania lakini Granit ana uraia wa Switzerland ambao ameupata kupitia mke wake.

Granit Xhaka amesajiliwa na Arsenal kwa pauni milioni 35.
 
Back
Top Bottom