Tukilikosa atakuja kwa mbwembwe akisaidiwa na ndugu Mussolin5[emoji3] najua ka chill tuu sehemu ana tusikilizia
Asante kila heri na wewe
Nadhan tuta wafunga leo
Leo tunashinda tukilikosa leo ndiyo nitakuwa napoteza bet itaniuma sanaNa kweli kwa tuliko pita huko nadhan kuna jambo leo inabid litokee
Hahaha Ronald analia leoView attachment 364909Nadhani umeshajua ni nini kinafuata hapa..
Na kweli ata kaye shndwa bas kashindwaHaya asiyekubali kushindwa si mshindani ila nahisi leo tutamuona CR7 atakayecharuka uwanjani maana kapania sana kulipeleka hili kombe kwao na anajua ngome ya Ufaransa si imara.
AaaahLeo tunashinda tukilikosa leo ndiyo nitakuwa napoteza bet itaniuma sana
Huyu ndiyo jambazi kuuAaah
Umenikumbuksha adui mwingne bwana Mussolin5 sema wata kaa kimya tuu mwshowe
Aaah
Umenikumbuksha adui mwingne bwana Mussolin5 sema wata kaa kimya tuu mwshowe