Ed n Edd nEddy
JF-Expert Member
- May 3, 2011
- 5,345
- 6,076
Inabidi iwe hivyo ili tusimpe nafasi PNC 1 ya kujileta humu [emoji12] [emoji12]Hahahahahahaa, na kweli
Leo kwa kweli nadhan tunamaliza ubishi moja kwa moja
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inabidi iwe hivyo ili tusimpe nafasi PNC 1 ya kujileta humu [emoji12] [emoji12]Hahahahahahaa, na kweli
Leo kwa kweli nadhan tunamaliza ubishi moja kwa moja
Hahahaha
Nakuaminia, ila ujue sis wareno historia ina tukalia vibaya kdogo
Sema #beleive
Team portugal hapa
Hizo zipo ili zivunjwe na siku nzuri ya kuvunja historia ndo hiiHistoria achana nayo. Leo mwenyeji anakaa mapema sana.
#CR7
Hahahahahaha lol! Mie nilidhani leo utaangalia kama shabiki tu wa kandanda lakini hutakuwa na team, ila naona umeamua kuichagua Portugal 🙂🙂 mie leo sina pressure hizi zote zilikuwa timu zangu tangu mwanzo wa mashindano ila ningependa kuona Ubingwa unabaki Ufaransa. Wapi Victoire?
Hahaha
[emoji23]
HahahahahHahaha
Nliona alivofurahi siku ya Ujerumani nikajua hawez kuipenda sana Ureno
Maombi yake yataishia kwenye miti tu.[emoji23]
Ata kuwa ana omba kweli tufungwe
Teh teh, nilijua lazma ushabikie ufaransa
Kwa kweli fainali bila timu haipandi, nko kwa kijana wangu CR7
Victoire najua ata kuja tuu, japo kwa sasa sja muona hapa kwa kwel
Naye lazma mko naye huko
Mwaka huu ata subir labda ata rude kwenye supercup ya la liga ila kwa hapa ndo ka sha noa tayarMaombi yake yataishia kwenye miti tu.
Hahahaha nahisi amejifunika huku anasali. Portugal bingwa leoMwaka huu ata subir labda ata rude kwenye supercup ya la liga ila kwa hapa ndo ka sha noa tayar
Asante kila heri na wewe...labda yuko busy anamlaza mwana haya kila la heri na timu yako mpya lol! ila najua Kombe linabaki France leo.
[emoji23]Hahahaha nahisi amejifunika huku anasali. Portugal bingwa leo
#Cr7
Na kweli kwa tuliko pita huko nadhan kuna jambo leo inabid litokeeMkuu leo tunashinda amini tunacheza na coincidence tamu sana just remember this
Siku ile against Austria CR7 angepata ile penati 16 bora ingekuwa against england then quarter against france and semi against German
Amini leo litakalo tokea hawataamini watu
Tunasubiria mechi tu[emoji23]
Aombe sana ila siye tuna shnda