Kuelekea Euro 2016: Timu zipi unazipa nafasi ya kufanya vyema?

Hahahahahaha lol! Mie nilidhani leo utaangalia kama shabiki tu wa kandanda lakini hutakuwa na team, ila naona umeamua kuichagua Portugal 🙂🙂 mie leo sina pressure hizi zote zilikuwa timu zangu tangu mwanzo wa mashindano ila ningependa kuona Ubingwa unabaki Ufaransa. Wapi Victoire?

Hahahaha
Nakuaminia, ila ujue sis wareno historia ina tukalia vibaya kdogo

Sema #beleive
Team portugal hapa
 
Hahahahahaha lol! Mie nilidhani leo utaangalia kama shabiki tu wa kandanda lakini hutakuwa na team, ila naona umeamua kuichagua Portugal 🙂🙂 mie leo sina pressure hizi zote zilikuwa timu zangu tangu mwanzo wa mashindano ila ningependa kuona Ubingwa unabaki Ufaransa. Wapi Victoire?

Teh teh, nilijua lazma ushabikie ufaransa
Kwa kweli fainali bila timu haipandi, nko kwa kijana wangu CR7

Victoire najua ata kuja tuu, japo kwa sasa sja muona hapa kwa kwel
Naye lazma mko naye huko
 
...labda yuko busy anamlaza mwana haya kila la heri na timu yako mpya lol! ila najua Kombe linabaki France leo.

Teh teh, nilijua lazma ushabikie ufaransa
Kwa kweli fainali bila timu haipandi, nko kwa kijana wangu CR7

Victoire najua ata kuja tuu, japo kwa sasa sja muona hapa kwa kwel
Naye lazma mko naye huko
 
Mkuu leo tunashinda amini tunacheza na coincidence tamu sana just remember this

Siku ile against Austria CR7 angepata ile penati 16 bora ingekuwa against england then quarter against france and semi against German

Amini leo litakalo tokea hawataamini watu
Na kweli kwa tuliko pita huko nadhan kuna jambo leo inabid litokee
 
Back
Top Bottom