Kuelekea Euro 2016: Timu zipi unazipa nafasi ya kufanya vyema?

Kuelekea Euro 2016: Timu zipi unazipa nafasi ya kufanya vyema?

sasa Payet naona alitaka afikishe magoli manne,hahaha chezea ufungaji bora wewe,ila ile chenga ya Pogba uliiona,ile iliyozalisha goali la pili
Ile chenga uwa naiangalia kila mara aiseee.....niliipenda.
 
Tunaofahamu maajabu ya football hatuna haja ya kupigizana kelele. Iwe dakika 90, 120 au mikwaju ya penalty, lakini leo kuna dalili ya wacheza kamali wengi kupoteza pesa zao. If you know what I mean.
 
Namtabiria Griezman kuja kuwa mfungaji bora wa muda wote michuano ya Euro

Goli langu bora la michuano kati ya haya
1. Acrobatic goal la Shaqiri
2. Kanu

Kipa bora kati ya
1. Lloris
2. Buffon

Mchezaji bora wa michuano
1. Payet
2. Griezman

Mchezaji bora mdogo

Sanchez
 
Ole,ole,ole,ole,feeling hot hot hot paraa raaa,feeling hot hot hot,taa ra ra ta rara....
 
Kikosi changu bora kwa Euro 2016
Formation : 4-3-3

Golikipa:
Buffon

Mabeki:
Sagna, Boateng, Bonucci, Hector

Viungo:
Payet, Renato Sanches, Toni Kroos

Washambuliaji:
Griezmann, Bale, Ronaldo.
 
Cm6GyKsWAAA2geJ.jpg
 
Back
Top Bottom