Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hahaha....lazima awaueMnashabikia Griezmann mno, suburia Ronaldo awachape goli hapo
Fainali imemkataa huyu.!CR7 anaonekana hataki kutoka... Umeumia mkuu angalia usiharibu msimu mzima ujao..
Atakaa sawa tu mkuuFainali imemkataa huyu.!
tuko pamojaTimu France
kama ipo ipo tuKwa kweli nimeskitka sanaa yaan
Kwa kijana wangu Cr 7 kutoka