Heaven Sent
JF-Expert Member
- Sep 27, 2013
- 32,682
- 98,253
#TeamFrance#Dahhh Ufaranca please don't let me down please....[emoji24][emoji32]
France wasisahau kwamba Portugal ni wazuri kwenye idara ya kupiga penalty.
France wajitahidi washinde game uwezo huo wa kushinda wanao.
Deschamps awaingize Martial na Kabaye.
Vumilia tu kwa kufuatilia hapa.!Wacha nilale tu nitarudi asubuhi kusoma post zenu
Kwendraaaa !!!! Nawapenda wanyamwezi toka mwanzo nilibet Spain or France bana ,spain wakaniangusha basi ndo nikatembea na France.Sababu yako ya kushabikia france naijua ila namshkuru Des hamchezeshi kabisa siku hizi [emoji12] [emoji12] [emoji12]
Asante mkuuPole sana
Mtanipa presha bureVumilia tu kwa kufuatilia hapa.!
Yaani acha tu niko nervous kishenzi.....#TeamFrance#
Kitumbo kinaniunguruma tu khaaa
CCM hao ni shidaaa..Wanadhan mnafaidiiiDaaah tanesco tumewakosea nini sisi [emoji17] [emoji17] [emoji17]
Hahahaa ila vema ukalala mtani maana wataku-disappoint haoKwendraaaa !!!! Nawapenda wanyamwezi toka mwanzo nilibet Spain or France bana ,spain wakaniangusha basi ndo nikatembea na France.
Lazima wachoke acha tu wamejitahidi mno bahati siyo yao wanakuwa km watoto wa Wenger bana[emoji16] [emoji16] [emoji16]NI mimi au inaonekana France kama vile wamechoka kuliko Portugal?
Hahaaaa umeona mkuuCCM hao ni shidaaa..Wanadhan mnafaidiii
Mtani mm silali si unanijua vizuri mzee wa kujifariji nipo mahali na kawine kangu nitasurvive tu[emoji2] .....BTW tunashinda!!!!Hahahaa ila vema ukalala mtani maana wataku-disappoint hao
Au amuingize tena Giroud.
Mnapigwaaa#TeamFrance#
Kitumbo kinaniunguruma tu khaaa