Kuelekea Euro 2016: Timu zipi unazipa nafasi ya kufanya vyema?

Kuelekea Euro 2016: Timu zipi unazipa nafasi ya kufanya vyema?

France wasisahau kwamba Portugal ni wazuri kwenye idara ya kupiga penalty.

France wajitahidi washinde game uwezo huo wa kushinda wanao.

Deschamps awaingize Martial na Kabaye.


Au amuingize tena Giroud.
 
Au amuingize tena Giroud.

France wakishinda ni kwasababu wao ni wenyeji hivyo kuwapa sifa hiyo.

Ila kwa Portugal hii ni fainali yao ya sita kwenye Euro 2016/World Cup na nchi wenyeji na wakishinda watajisikia vindicated ukizingatia nyota wao Ronaldo ameshindwa kuendeleza mtanange.
 
Back
Top Bottom