Atafutwe PNC 1 popote alipo alidhani leo ataona nuru [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Oyooooooo
Mkuuuu [emoji471] tumebebaaa
Kombe la dunia alichukua lini?Ronaldo mchezaji bora duniani..Hilo ndilo kombe pekee alibakisha.
Hahaha alikua na kelele ndani humu nadhani ana vumilia za usoPNC 1 yuko wapi au ashaenda Morocco?
Huyu pogba sijui morinho anampendea nini zaidi maana watu km yy man u wapo wengi tuHaya tutafute wa kumlaumu toka France... Griezmann kakosa magoli , Giroud hajafanya kitu chochote.... Pogba samaki nje ya maji..Alaumiwe nani?
Nasubiri Messi vs Ronaldo7 nani zaidi bullshit kuanza.
Lia tu!! Nshajitolea kukubembeleza atiNilikuwa sina mpango wa kulia, Evra anataka kuniliza sasa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
mwaka huuu ata jinyonga
Kumbe we ni mlain, huwa najua dizain ya kina e.v.eNilikuwa sina mpango wa kulia, Evra anataka kuniliza sasa
Huyu pogba sijui morinho anampendea nini zaidi maana watu km yy man u wapo wengi tu
Usisilie mtoto mzuri nitakupa zawadiNilikuwa sina mpango wa kulia, Evra anataka kuniliza sasa
Hongereni sana nilichokipenda ni mnyamwezi kufunga,hongereni sana Portugal,ila mwanangu CR ana misifa huyooo,Hongera CR7 am Man U sijaloose kitu[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]