Kuelekea Euro 2016: Timu zipi unazipa nafasi ya kufanya vyema?

Kuelekea Euro 2016: Timu zipi unazipa nafasi ya kufanya vyema?

Mimi nazipa nafasi timu hizi nne kufika mbali zaidi.
1.Ufaransa
Licha ya kuwa wenyeji tu bali pia wana kikosi cha dhahabu kama vile Pogba, Martial, Griezmann, Laporte, Coman, Benzema na wengineo wengi.
labu zao ila wanapafomu vizuri timu ya taifa. Rejea kuhusu mkongwe aliyestafu Miroslav klose.
ema kwenye Euro 2016 pale Ufaransa.
Ulitabiri atafika mbali ila leo katuachia kombe letu
 
Power

1fe0424e29bfa4ffc956c43b02b11f43.jpg
 
Watu wanaongelea C Ronaldo kama yy ndio kaishindia Ureno wakati yeye kakimbia Haraka lawama wasifiwe kina Carvalho na Joao Mario pamoja na Nani rubaman
Kweli Ronaldo kusema kweli hajafanya lolote la ajabu katika haya mashindano. Fainali mara nyingi ni 50-50 na mechi inapokwenda extra time sucker punches kama hizi huwa zinatokea.
 
France watajilaumu sana leo kwa kushindwa kucheza kabumbu na wachezaji kama Dimitri Payet, Antoine Griezmann na Paul Pogba walikuwa wakiwaza kwenda holidays.
 
Sio Mourinho tu mkuu. Dunia nzima inamsifia huyu dogo lakini sijaona lolote la maana toka kwa Pogba. Labda mimi kipofu kimpira
Pogba ni mido ambazo zinatuliza pressure ya mchezo

Mkuu mara ingine mawakala hutengeneza promo kwenye media ili mchezaji aonekane expensive

Ila kiukweli pogba hatakiw kuvuka paund million50
 
Back
Top Bottom