Heaven Sent
JF-Expert Member
- Sep 27, 2013
- 32,682
- 98,253
Haha nimegoma aiseewLia tu!! Nshajitolea kukubembeleza ati
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Atafutwe PNC 1 popote alipo alidhani leo ataona nuru [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kweli mdau..Hilo kalikosa,alikua hajachukua kikombe na national team. Hii kwake ni credit kubwa sanaKombe la dunia alichukua lini?
Ah ha yani chozi langu huwa lipo hapaa (I'm too emotional), ila till now sijalia hahhaaKumbe we ni mlain, huwa najua dizain ya kina e.v.e
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Sio Mourinho tu mkuu. Dunia nzima inamsifia huyu dogo lakini sijaona lolote la maana toka kwa Pogba. Labda mimi kipofu kimpira
SitakiiiUsisilie mtoto mzuri nitakupa zawadi
ngoja nimalizie kushangilia nije kwako.Haha nimegoma aiseew
Yaan namsubiri kwa hamu sanaaAna gundu yule, na msimu huu hata La Liga lazima wakalishwe. Atakimbia JF yule.
Sitaki chochote aiseeUnataka nini sasa? Niambie
#Cr7
ukilia itapendeza sana!! naweza kuwa mzalendo kwako zaidi ya Ronaldo kwa Ureno.Ah ha yani chozi langu huwa lipo hapaa (I'm too emotional), ila till now sijalia hahhaa
Huo ndio utamu wa mpiraAh ha yani chozi langu huwa lipo hapaa (I'm too emotional), ila till now sijalia hahhaa
Hahaha Ronaldo alidata Leoukilia itapendeza sana!! naweza kuwa mzalendo kwako zaidi ya Ronaldo kwa Ureno.