Kuelekea Euro 2016: Timu zipi unazipa nafasi ya kufanya vyema?

Nimerudi nipo hapa.

Hongera zao Wales naona watavuka na ama England au Russia.

Dakika inakwenda ya 12 goli ni 0-0

Kila timu inajitahidi kushambulia lakini hakuna umakini kwenye final third.
 
Miaka yote waingereza wanacheza mpira wa aina moja kukosa magoli kushambuli bila matokeo ya maana,hawa sidhani kama watafika mbali
 
Dakika 20 zimekwenda na hakuna timu iliyoona nyavu.

England 0 Russia 0

Mpira sasa unachezwa kwa uangalifu Zaidi huku England wakiwa na kasi yao ileile waliyoanza nayo.
 

Meneja wa Russia Leonid Slutski sio mtu wa masihara.

Alipewa jukumu la kuinoa timu hiyo baada ya kuwa inafungwa sana kwenye michuano ya kufuzu na kumtimua Fabio Capello.

Tangu Slustski alipoanza kazi yake Russia ikashinda mechi zake zote nne na kufuzu kucheza Euro 2016 wakiwa washindi wa pili.

Dakika zimekwenda ni 26 goli ni 0-0
 


Nusu ya kipindi cha kwanza imepita na goli bado ni 0-0

England wana tatizo la umaliziaji na hata Harry Kane amekosa nafasi kadhaa za kufunga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…