Kuelekea Euro 2016: Timu zipi unazipa nafasi ya kufanya vyema?

nikikusoma between the line, nakuona jinsi ulivyochukia mlivyopigwa kipigo cha paka (8:2) ukaamua kuhama mazimaa!

cc barafuyamoto
 
Subiria maajabu tu. Ingawa kuna timu nyingine zipo vizuri kwa kweli
 
Kituko, england ktk soka la ulaya ni timu kama Czech, ya kawaida!
Yaani engaland ambayo wameanza kusema na Wilshire na Walcott wawepo?
Ya kina Delle Ali, lallana, Stones, Barkley, Oxlain, Kane, Rooney??
No chance, hawafiki 1/4 final.
Ndugu acha dharau basi. Mashindano haya lazima England waoneshe maajabu just wait and see. Hao Wilshire na Walcott wanapigwa panga tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…