Deo Corleone
JF-Expert Member
- Jun 29, 2011
- 17,006
- 13,281
France
Germany
Germany
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu ww kabila ganiduu wacrotia hao inamaana wc 2014 hukuangalia
vp kwani mkuu mbona umeuliza hivyo?Mkuu ww kabila gani
nikikusoma between the line, nakuona jinsi ulivyochukia mlivyopigwa kipigo cha paka (8:2) ukaamua kuhama mazimaa!Mimi timu iliyo na wachezaji wa Barcelona ndiyo itakayotwaa ndoo na jambo la kujivunia Barcelona haina mchezaji Muingereza wala Mreno maana hz timu mbili ni washiriki haswahaswa huyo vuvuzela England aliyejaza wachezaj kibao wa man u ambao sifa za media 90% uwezo wa huyo anayepewa sifa 10%
England hii ya akina Delle Alli na Adam Lallana?England
Smalling. Sterling Rooney stonesEngland hii ya akina Delle Alli na Adam Lallana?
Smalling. Sterling Rooney stones
England hii ya akina Delle Alli na Adam Lallana?
Sio kwa england hii wakuu....england ya world cup at least ilikua kali na hawakutoboa......sijui ina gundu gani england.....labda wapandishe viwango b4 june....still there's plenty of time to improve!!England
Subiria maajabu tu. Ingawa kuna timu nyingine zipo vizuri kwa kweliSio kwa england hii wakuu....england ya world cup at least ilikua kali na hawakutoboa......sijui ina gundu gani england.....labda wapandishe viwango b4 june....still there's plenty of time to improve!!
France, belgium, germany, spain wana vikosi vizuri....
Kituko, england ktk soka la ulaya ni timu kama Czech, ya kawaida!England
Mangala na cisokho wazee wa kutoa maboko!Giroud, Koscielny, Varane, Mangala, Cisokho
Binafsi sijahama.nikikusoma between the line, nakuona jinsi ulivyochukia mlivyopigwa kipigo cha paka (8:2) ukaamua kuhama mazimaa!
cc barafuyamoto
Ndugu acha dharau basi. Mashindano haya lazima England waoneshe maajabu just wait and see. Hao Wilshire na Walcott wanapigwa panga tuKituko, england ktk soka la ulaya ni timu kama Czech, ya kawaida!
Yaani engaland ambayo wameanza kusema na Wilshire na Walcott wawepo?
Ya kina Delle Ali, lallana, Stones, Barkley, Oxlain, Kane, Rooney??
No chance, hawafiki 1/4 final.