Kuelekea Euro 2016: Timu zipi unazipa nafasi ya kufanya vyema?

Bora uunge unge ila umalize teeehe teeehe kifupi point mliyopata jana hamjipati tena mtaondoka na hiyo hiyo
Hahahah jipe moyo. Nawasubiri nyie Wales. Ila mimi nipo Great Britain ndugu. Ila Wales kumfunga England mtihani huo
 
Nataka nione kama itakuwa kweli maana game two lazima england apoteze tena

UEFA has told England and Russia that they could be disqualified from UEFA EURO 2016 if fan violence continues.
 
Haya sisi wajukuu wa Hitler tunaanza rasmi mashindano hapo baadae!! Thom Muller ana goli zake mbili leo!!
 
Aisee kutokana na fujo zinazoendelea huko france, nahisi wa_Russian wamekuja tena wamejichanganya kuja na wajeda kufanya fujo ukizingatia figisufigusi walizo nazo kwa waingereza/wamarekani na ndiyo maana ukiangalia nguo zao nyingi zina mfano wa military uniform!.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…