Kuelekea Euro 2016: Timu zipi unazipa nafasi ya kufanya vyema?

Kuelekea Euro 2016: Timu zipi unazipa nafasi ya kufanya vyema?

No worries[emoji41] [emoji41]

882cd67d22603322809aa2d9b8142d69.jpg
 
Duh tungependana Kama tunavyo penda mpira sijui Tanzania tungekuwa wapi.
Kama nimewakwaza samahanini

Mkuu wala humkwazi mtu ni maoni yako tu mazuri.

Sisi watanzania tunaingiza siasa hata katika masuala kama michezo, ni hilo tu.

Lakini tungewaachia wataalam wa soka kutoka nje kama Holland, Germany au Denmark, tungejifunza kitu.

Michezo inahitaji zaidi ya siasa na watu kama mheshimiwa Nape Nnauye sidhani kama tangu ameingia wizarani ana vipaumbele gani ameweka kuhusu michezo.

Michezo inataka maandalizi, fedha, utaalam na vipaji kuindeleza, hakuna ndoto hapo.

Sanasana namwona akiambatana na wasanii ambao wao ni sehemu tu ya hiyo michezo.

Ningependa kuona waziri anasema kwamba "nataka kuona Tanzania inacheza world Cup 2022 au tunataka kupata medali zaidi 10 za dhahabu, 10 za fedha na 10 za Shaba kwenye Olympic Brazil.

Lakini hadi leo kimya.
 
japo hili si jukwaa lake jamaa hajamkwaza mtu ni kweli upendo muhimu, Olympic Tanzania Viongozi ni ovyo japo humu si jukwaa lake Wanamichezo hawana vigezo vya kwenda Olympic ndio wanaenda Olympic Brazil kwa TZ. Wizara ya michezo utaisikia imebaki siku 30 ndio wataongelea kinafiki lazima tuone rekodi zao sasa hivi hasa wale wa Swimming tujue walishindana na nani? na kigezo gani wamechaguliwa?
 
Nimecheki hapa warussia na waingereza wanauana kitaani. Ulikuwa ugomvi wa makundi sasa hivi wanakamatana mmoja mmoja wanatimba mbaya. Polisi wa Ufaransa kazi wanayo. Hawa waingereza ustaarabu zero sasa wamekutana na machizi wa kirussua.
Unajua nini PAGAN? haya ndio niliyasema ya ubaguzi wa wenzetu, kumbuka wakati South Africa na Brazil inataka worldcup walisemwa oh kuna ubakaji,wezi,fujo na Worldcup zilifanyika kwa amani na wakafurahi sasa wao Euro kila asilimia kubwa Euro nimeona fujo wao wanaiya Hooligans, Africa nation watu wangefanya hiyo tabia tungeitwa Wanyama ila wao ndio wanafanya Unyama wao tunatizama. Wazungu lao si baya.
 
Jamani
USIKOSE game week ijayo Austria vs Hungary!Hawa ni zaidi ya Albania vs Serbia!Sidhani hata kama mechi yao itaisha!Walikuwa empire moja hawa waligawana mbao baada ya WW1

Wachambuzi wote macho yao hii game
 
Kama UNASHINDWA kudhibiti mashabiki wa England vs Russia,Je utaweza dhibiti mashabiki wagomvi wa Austria vs Hungary wenye chuki kuanzia kwenye siasa hadi kumbukumbu za WW1?

Polisi France kazi wanayo
 
Unajua nini PAGAN? haya ndio niliyasema ya ubaguzi wa wenzetu, kumbuka wakati South Africa na Brazil inataka worldcup walisemwa oh kuna ubakaji,wezi,fujo na Worldcup zilifanyika kwa amani na wakafurahi sasa wao Euro kila asilimia kubwa Euro nimeona fujo wao wanaiya Hooligans, Africa nation watu wangefanya hiyo tabia tungeitwa Wanyama ila wao ndio wanafanya Unyama wao tunatizama. Wazungu lao si baya.

Fujo wameanza waingereza leo tangu mchana. Wamelewa wana distrub watu wanaimba nyimbo kibaguzi hata wametupia kichwa cha nguruwe msikitini.
Hivi jioni wamewachokoza warussia nyimbo yao ya taifa inapigwa wao wakafanya booo yakafuatia matusi kwa Putin na mikwara. Warussia walipochoka balaa. Sasa hivi waingereza wanadai wameonewa
 
Jamani
USIKOSE game week ijayo Austria vs Hungary!Hawa ni zaidi ya Albania vs Serbia!Sidhani hata kama mechi yao itaisha!Walikuwa empire moja hawa waligawana mbao baada ya WW1

Wachambuzi wote macho yao hii game
Austria-Hungary ni zaidi ya battle!!
 
kipindi michuano kulikuwa na vagi la kufa mtu kati ya mashabiki wa rusia na england, jionee mwenyewe

1465665154668_lc_galleryImage_Police_fire_water_cannons.JPG

gari ya washawasha ikifanya yake

1465665178131_lc_galleryImage_A_man_lays_unconscious_af.JPG

eti england wanajiita vichaa wa soka halafu timu yenyewe mbovu.

1465665227417_lc_galleryImage_An_injured_man_is_arreste.JPG

Huu ushabiki ni wa kipuuzi kabisa.

Jionee warembo wa rusia ila hawawafikii hata kwa robo wale wa brazil.
1465667577758_lc_galleryImage_A_Russia_fan_is_pictured_.JPG

1465668848538_lc_galleryImage_Football_Soccer_England_v.JPG

1465669501398_lc_galleryImage_MARSEILLE_FRANCE_JUNE_11_.JPG

Huyu nimemuelewa, aisee;
 
Always german ni watu hatari, nawaheshimu sana kwenye mashindano yoyote, belgium imesheni watu, france.
 
Back
Top Bottom