Kuelekea Euro 2016: Timu zipi unazipa nafasi ya kufanya vyema?

Kuelekea Euro 2016: Timu zipi unazipa nafasi ya kufanya vyema?

as i said #england ni timu ya magazeti wanapambwa sana na vyombo vyao vya habari huez mwacha mtu kama #drinkwater kwanza jamaa ndo anahitaji kutoka angepga mpira wa nguvu sana then hawa jamaa wanaitaji #kocha toka nje aje awape mbinu mpya tatzo wakiwafunga #sanmarino 7 vyombo vya habari vinawapamba balaa akitoka michuano mikubwa akikutana na #wakali nothing...
 
Kwani ulikosa machi za kuangalia mpaka uangalie England. Kuchangia ina maana unawapenda na unaumia wakipigwa. Ungeongelea jinsi Russia wanacheza kwenye ligi na jinsi wamecheza leo ningejua unafuatilia ligi za warussi. Je kwa nini hujui timu zao? Jibu una mahaba na timu za England Point.
 
hapa kina Ian Wright na Dixon wanasifia ujinga au sababu wameona Pasi nyingi? Sterling anakimbia tu bila kujua wapi anaenda na Hary Kane si Bora angetolewa akasukumwa Rooney mbele au wakaingiza Rashford au Sturidge, Hudgson naye na Gary Neville ni Jipu Welshire mwanzo bora kuliko Dele Ali... nilisema mie mtaona Vituko vya Hart bado nusu wangefungwe, England kila siku anasifiwa Harry Kane wakati kuna Rashaford na Sturidge more Class, Nextweek tutawaona Ibiza na Dubai na LA ndio Holiday zao hupenda kwenda watu wanapesa wanaenda IBIZA?
 
100384950-the_xhakas-sport-xlarge_trans++KYmB98HZXF6i9bLiBqfC-TDC3Z_MGy0c2EgWsFix-NU.jpg

Mtu na kaka yake Taulant na Granit Xhaka wakipambana uwanjani- Picha na Reuters.

CkrDmlQWUAAHNtE.jpg

Wazazi wa ndugu hao mama mwenye fulana nyeusi na baba mwenye shsti la blue na dada yao walitazama mtanange.

Kweli undugu lawama hapo kazi kazi
 
England too much wasteful
Wanahitaji nafasi 10 za wazi wafunge bao 1!
Wasio jua mpira wataiona kama England ndiyo imecheza soka lkn sisi wataalam tunaioa credit Russia kama ndiyo wamecheza soka!

Russia walikuwa wanajua wanachofanya na wala sikushangaa walipo sawazisha!
 
Kwani ulikosa machi za kuangalia mpaka uangalie England. Kuchangia ina maana unawapenda na unaumia wakipigwa. Ungeongelea jinsi Russia wanacheza kwenye ligi na jinsi wamecheza leo ningejua unafuatilia ligi za warussi. Je kwa nini hujui timu zao? Jibu una mahaba na timu za England Point.
infact ni mpenzi wa mpira na sio mshabiki #russia kule kuna zenit,cska,locomotiv moscow,anzi makhachakala nk #waingereza ubishoo umewazidi nakumbuka worldcup ya #southafrica walipambwa mwishowe wakatoka #kapa na leo #mrusi hakupewa nafas sana kama waingereza then #russia na #uk ni tofauti baada ya #soviet kuvunjka kila nchi ikaanza kuunda timu yake anza na serbia,croatia,czech republic,bosnia nk tofauti na waingereza wapo tangu na #tangu
 
England too much wasteful
Wanahitaji nafasi 10 za wazi wafunge bao 1!
Wasio jua mpira wataiona kama England ndiyo imecheza soka lkn sisi wataalam tunaioa credit Russia kama ndiyo wamecheza soka!

Russia walikuwa wanajua wanachofanya na wala sikushangaa walipo sawazisha!

Hiyo inaitwa sucker punch yaani wewe unarukaruka kwa mikogo mingi kama bondia halafu yule bondia mwingine anakutizama tu akikulia timing halafu anakupa ngumi moja tu katikati ya uso na wewe chali!
 
Back
Top Bottom