Ed n Edd nEddy
JF-Expert Member
- May 3, 2011
- 5,345
- 6,076
No worries[emoji41] [emoji41]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mother wao naye alivaa Tshirt ya Nusu Nusu!Mdingi hakutaka lawama kaja na shati lake hana habari acha wauane wenyewe uwanjani
England kama staz tuu
Magoli wanakosa ya waziiiii
ukirnda 101greatgoals utacheka twitter ya kuhusu england ya MJ memesNo worries[emoji41] [emoji41]
![]()
Duh tungependana Kama tunavyo penda mpira sijui Tanzania tungekuwa wapi.
Kama nimewakwaza samahanini
Unajua nini PAGAN? haya ndio niliyasema ya ubaguzi wa wenzetu, kumbuka wakati South Africa na Brazil inataka worldcup walisemwa oh kuna ubakaji,wezi,fujo na Worldcup zilifanyika kwa amani na wakafurahi sasa wao Euro kila asilimia kubwa Euro nimeona fujo wao wanaiya Hooligans, Africa nation watu wangefanya hiyo tabia tungeitwa Wanyama ila wao ndio wanafanya Unyama wao tunatizama. Wazungu lao si baya.Nimecheki hapa warussia na waingereza wanauana kitaani. Ulikuwa ugomvi wa makundi sasa hivi wanakamatana mmoja mmoja wanatimba mbaya. Polisi wa Ufaransa kazi wanayo. Hawa waingereza ustaarabu zero sasa wamekutana na machizi wa kirussua.
Kama UNASHINDWA kudhibiti mashabiki wa England vs Russia,Je utaweza dhibiti mashabiki wagomvi wa Austria vs Hungary wenye chuki kuanzia kwenye siasa hadi kumbukumbu za WW1?Unajua nini PAGAN? haya ndio niliyasema ya ubaguzi wa wenzetu, kumbuka wakati South Africa na Brazil inataka worldcup walisemwa oh kuna ubakaji,wezi,fujo na Worldcup zilifanyika kwa amani na wakafurahi sasa wao Euro kila asilimia kubwa Euro nimeona fujo wao wanaiya Hooligans, Africa nation watu wangefanya hiyo tabia tungeitwa Wanyama ila wao ndio wanafanya Unyama wao tunatizama. Wazungu lao si baya.
Unajua nini PAGAN? haya ndio niliyasema ya ubaguzi wa wenzetu, kumbuka wakati South Africa na Brazil inataka worldcup walisemwa oh kuna ubakaji,wezi,fujo na Worldcup zilifanyika kwa amani na wakafurahi sasa wao Euro kila asilimia kubwa Euro nimeona fujo wao wanaiya Hooligans, Africa nation watu wangefanya hiyo tabia tungeitwa Wanyama ila wao ndio wanafanya Unyama wao tunatizama. Wazungu lao si baya.
Austria-Hungary ni zaidi ya battle!!Jamani
USIKOSE game week ijayo Austria vs Hungary!Hawa ni zaidi ya Albania vs Serbia!Sidhani hata kama mechi yao itaisha!Walikuwa empire moja hawa waligawana mbao baada ya WW1
Wachambuzi wote macho yao hii game
SASA UNATAKA WAWEKWE AKINA NANI KWENYE USHAMBULIAJIBado ni wachezaji wa kawaida sana, hawana uwezo wa kubadilisha matokeo.