Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 18,960
- 67,654
- Thread starter
-
- #701
Chiellini huku kwetu wanamwita mti mkavuChiellin
na wamemtoa...kaingia OrigiLukaku leo sjui amekula maharage ya wap tena!!?
Naona mKenya kaingia, lukaku kala maharage ya segerea huyo leoLukaku leo sjui amekula maharage ya wap tena!!?
HahahaaNaona mKenya kaingia, lukaku kala maharage ya segerea huyo leo
Sana ana nifurahisha chielliniJinsi Italy wanavyo-defend ndio utamu wa hii game!!
Wanacheza mpira wa kihuni sana!!Sana ana nifurahisha chiellini
Ila naona wana jizoela njano za kutosha
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Wanacheza mpira wa kihuni sana!!
Akileta EPL hana siku nyingi atarudi zake Italy[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Huu mpira wa Italy kama ndo Conte ana upeleka chelsea ni hataree
HahahahaAkileta EPL hana siku nyingi atarudi zake Italy
2-0Hahahaha
Kana piga mpira wa malengo ka conte
Naona umeonekana mwisho kama shangilia ya buffonTumemaliza kazi,