Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 18,960
- 67,654
- Thread starter
-
- #721
Pole sanaTonight - Belgium all the way!!
Wajaribu next mechiBelgium ana nafasi ya kushinda bado
Wanarudi enzi za kupaki basiGoli safi kabisa hadi wanashangilia kama wamebeba kombe ....
Uzuri tumeshajua jinsi Chelsea watakavyo cheza msimu huu
Nimeshangilia mara mbili tu na Italy wameshinda 2-0, endelea na timu yako ya kina LalanaNaona umeonekana mwisho kama shangilia ya buffon
Bonge la goli,yule jamaa aliyetoa assist kama nilishaanza kumchukia hiv sababu alikua anatengewa mipira mingi sana pembeni akawa anazingua, ila hii ya mwisho alitulia!! beautiful finishing!!What a mooooôove, goli la pili limekwenda shule
Nitake radhi mkuu siwezi shangilia hawa wataliiNimeshangilia mara mbili tu na Italy wameshinda 2-0, endelea na timu yako ya kina Lalana
Kama kawaida yao tena wakikutana na Mou sijui itakuwaje msimu huu burudani nyingi sanaWanarudi enzi za kupaki basi
yakina Rashford tehteh! leo nimetoka na Italy angalau.Nimeshangilia mara mbili tu na Italy wameshinda 2-0, endelea na timu yako ya kina Lalana