Kuelekea Euro 2016: Timu zipi unazipa nafasi ya kufanya vyema?

Kuelekea Euro 2016: Timu zipi unazipa nafasi ya kufanya vyema?

Sitashangaa kuziona hizi timu 2 zikikutana Final #Blgm na Itly
 
Nimeshangilia mara mbili tu na Italy wameshinda 2-0, endelea na timu yako ya kina Lalana
Nitake radhi mkuu siwezi shangilia hawa watalii
4f4de7c91c141a1adf6b93cb6260020f.jpg


Niko zangu France nikijituliza na German pembeni Wales
 
Wazee wenzangu wa kitaliano nimesafiri nao salama....unapokuwa mtu mzima unakuwa na mipango endelevu ndio maana inaaminika busara kubwa kutoka kwao...de rossi alikuwa kwenye kiungo kufanikisha mipango sio kugombea dimba na watoto wadogo..katanacho ilikuwa kwenye mahala pake kabisa chini ya buruda chellini
 
Don't underestimate old men. Mababu wamepiga mpira wa tournament kwa kweli, sio kina Naingolan wanacheza kama wapo kwenye ligi wamejisahau kwamba mechi mbili Tu unaenda kwenu
 
Overrated Belgium Leo wamekiona cha mtemakuni. Hawa FIFA sometimes uwa siwaelewi, haiwezekani timu ya kina Lukaku na Fellain ranked second position. Timu Ina full premier league players ndio maana wameflop vibaya vibaya
 
Yani watoto wa papa kadri unavyokuwa mzee ndio unazidi kuwa mtamu kama muwa..ndio maana watoto wao walikuwa sub wakijifunza kitu kwa kaka zao hili wao wakifika 30 wawe wamesharidhi mavitu....Buffon sijui atastaafu lini aisee maana kila mwaka nasema sijui mwaka huu lakini wapi
 
Back
Top Bottom