Kuelekea Euro 2016: Timu zipi unazipa nafasi ya kufanya vyema?

Mkuu Mussolini5 na wakuu wengine niaje?

Kwanza nikutakeni radhi kwa kushindwa kuhudhuria hii sehemu yetu tukufu.

Nilipata udhuru na nikashindwa kabisa kuangalia game za leo kwa raha zangu.

Ila niliweza kushuhudia goli la dakika ya 92 na nusu la kijana Gianzano Pelle ambalo kwa kweli lilikuwa ni la kusisitizia kwamba Italia haina masihara.

Italia inaundwa na ngome yake imara inaowasiliana vema na kipa wao Gianluigi Buffon.

Kuna mabeki wake wanne wakiongozwa na mkoba wao Leonardo Bonucci na pembeni kuna Giorgio Chiellini na Matteo Darmian.

Kukosekana kwa Andrea Pirlo hakujaathiri sana sehemu ya kiungo ya Italia na Daniele De Rossi anaifanya kazi yake bila shida kumsaidia Antonio Candvera kuleta madhara kwenye ngome yoyote ile.

Ila jambo nililoligundua ni kwamba hawa wataliano wanamheshimu sana Buffon na yeye ndie anawaongoza uwanjani.

Amekuwa akiwapigia kelele pale wanapokosea na muda wote anawasiliana na safu ya mabeki wake.

Kama nilivyotangulia kusema huko nyuma hatua ya atua ya robo fainali Germany na Italia hawatakosekana.
 
Sijui ingekuwa vipi jana angekuwepo marchisio na yule wonder boy marco verratti yani ukiona mtoto anahaminiwa Azzuri kukaaa na kaka zake uwanjani jua hilo toto nunda jana matozi wa kibeligiji wangekufa nyingi
 



Jamaaa itakuwa zaidi ya uingereza na russia maana hawa wanabifu zito kiboko makomandoo wa france inabidi wawe jirani sijui itakuwa vipi aisee
 
Jamaaa itakuwa zaidi ya uingereza na russia maana hawa wanabifu zito kiboko makomandoo wa france inabidi wawe jirani sijui itakuwa vipi aisee
Polisi France leo wana kazi kubwa sana,na kibaya zaidi mechi hii ilitakiwa ichezwe mchana sio jioni!Nitataka kuona wkt zinapigwa nyimbo za Taifa kama watatii sheria,kwa mfano Serbia na Albania mechi huwa inavurugika kwa sababu hamna team inayo heshimu nyimbo na bendera ya mwenzake

Kwa nn UEFA wamewaweka hawa kundi moja?
 
Jaman naskia urusi wamekuwa suspended mwenye taarifa zaid atujuze
 
Jaman naskia urusi wamekuwa suspended mwenye taarifa zaid atujuze
Nimeona na mie, ila mie kama Betting naweka 5000/1 Sweden na Spain kupigana hehehe nitacheka kama Sweden nao wana Hooligan.
 
Nimeona na mie, ila mie kama Betting naweka 5000/1 Sweden na Spain kupigana hehehe nitacheka kama Sweden nao wana Hooligan.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Wapole wale
 
Old Players Hungary Gabo Kilary 40. Ujerumani 31 shwesteiger Sweden Indeeass Isaksson na Zlatan wamezaliwa October 81. Segei ignachevich wa Russia 36. Tomas Roscky 35 na Pattick Evra 35 na shehi wa Albania ni 38 na Janko wa Austria ni 32 na England ni Rooney 45 oops sorry ni 30 pia Roy Carrol wa N Ireland ni 38 na Jan Durica 34 Na Eder gudjohnsen wa Iveland ni 37 pia Wales David vaghgun ni 33 na Gillet wa Belgium ni 31 kwa Poland Autur Boruc ni 37, Hakan Balta 33 wa uturuki na Ureno ni Cavalho ni 38 pia Swiss vpn Bergen ni 33 kuna Darijo Sirna 34 wa crotia kuna spain ni Aduriz wa Bilbao ni 35 pia ukraine yupo Anatoly ni 37 kama nimekosea majina basi samahani.
 
Jaman naskia urusi wamekuwa suspended mwenye taarifa zaid atujuze
Hilo ni TISHO tu,huwezi ifukuza team sababu ya vurugu za mashabiki!Wataenda Court of Arbitration for Sport-Geneva kwa hati ya dharura kusimamisha mashindano na UEFA wanajua haya!

England fans walikuwa wana vurugu mno fainali za miaka ya nyuma lkn zaidi ya ONYO hawajawahi fukuzwa
 
huko ndio watapoendea ila kumbuka Liverpoolfc ilifungiwa Europe miaka ya nyuma sababu ni Mashabiki.
 
kumbe before hii michuano #Russia walikua wamefungiwa miaka 3 kutoshiriki michuano ya #EURO adhabu ndo imeisha mwaka huu then wanaweza pigwa panga lingine jamaa #watata sana #Vodka wanazokunywa zinawapeleka kasi ila #Russia na #England kuna kitu chini ya kapeti nadhani waingereza kunyimwa kuandaa #worldcup na kupewa #Russia 2018 bado kinamuumiza sana mwingireza
 
Ukuta wa Italy
Buffon miaka 38
Barzagli miaka 35
Bonucci miaka 29
Chiellini miaka 31
Jumla= 133
Italia wanabahati sana ya kupata #mabeki wanaojua shughuli beki #katili anza na #matterazi rafiki yake #zidane,#canavarro fabio,#nesta alexender,#maldini paulo na yule kiungo mwenyerohombaya #gennarogatusso...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…