Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 18,960
- 67,654
- Thread starter
- #741
Anaitwa Antonio Candreva...bonge moja la kiraka toka hapo S.S. LazioBonge la goli,yule jamaa aliyetoa assist kama nilishaanza kumchukia hiv sababu alikua anatengewa mipira mingi sana pembeni akawa anazingua, ila hii ya mwisho alitulia!! beautiful finishing!!