Kuelekea Euro 2016: Timu zipi unazipa nafasi ya kufanya vyema?

Kuelekea Euro 2016: Timu zipi unazipa nafasi ya kufanya vyema?

Kwa sasa Payet bila Milion pound 60 wala usimpigie simu kocha Billic sababu atakufukuza tu!Euro imepandisha sana stock ya Payet na kushusha drastically bei ya Pogba

Kuwekwa reserves leo kumemnyoosha Pogba na Griezman na walipo ingia wakakaza
West Ham midfielder Dimitri Payet's agent says it would take "ridiculous money" to sign the 29-year-old France international this summer. (Sky Sports)

Manchester City, Chelsea and Paris St-Germain are among the clubs interested in signing Hammers midfielder Payet. (Sun)
 
nipo leo nasubiri kwa hamu kujua kama kina Rooney wanasonga ama la,ila mechi ninayoisubiri kwa hamu ni German na Poland
England atampiga Wales easily kabisa!Wales hawana mabeki wenye maumbo makubwa na wanaocheza mipira ya juu kama Russia!Nina uhakika kiungo wa England watatawala dimba sababu Allen na Ramsey wao ni talented players lkn hawana nguvu za ku win tackle!

Germany ATAHANGAIKA sana kwa Poland!
 
West Ham midfielder Dimitri Payet's agent says it would take "ridiculous money" to sign the 29-year-old France international this summer. (Sky Sports)

Manchester City, Chelsea and Paris St-Germain are among the clubs interested in signing Hammers midfielder Payet. (Sun)
WHU watavuta mpunga wa ukweli sana kwa Payet na nina uhakika 100% hawezi baki WHU,ataenda so called BIG CLUBS
 
sema payet kawa kwe form umri mkubwa tutamwona akifanya vizur kwa mda mchache sana tofaut na kina pogba
 
Haya mida ndo hiyo inakaribia...Watoto wa Malkia wataweza kupambana?





Mkuu Mussolin nitakosa gemu ya watoto wa malkia aisee coz nipo kwa ofisi bado hila leo naomba washinde hili kundi lao lizidi kuwa gumu wakatolewe mechi ya mwisho na solvakia...maana watoto malikia wangejua mpira dunia leo ingesimama kwa muda
 
nipo leo nasubiri kwa hamu kujua kama kina Rooney wanasonga ama la,ila mechi ninayoisubiri kwa hamu ni German na Poland







Hahahahahahahahaha....mkuu nasubiri kwa hamu hiyo mechi ya mtu na mwanae sijui itakuwa vipi maana pande zote mbili yatapigwa mawe mpaka basi.leo kuna hatari makipa wote wakalala na gloves aisee....leo nasafiri na wajukuu wa hitler Poland aiseee kuna yule dogo KAPUSTKA aiseee copy ya ballack mnyama pale Poland
 
Mechi itakayokuwa TAMU na kupendeza zaidi leo ni Ukraine vs Northen Ireland
Teams hizi zote mbili zina defensive mentality lkn zinajua kuwa kupoteza game ya leo ni kujikatia safari ya kuaga mashindano!Ukraine wali defend vyema sana na Germany hadi dakika za mwisho walipo choka,pia wanafanya counter attacks za maana sana!Mchezaji kama Roman Zozulya anayekataa mwenyewe kila mwaka kuja EPL siyo mtu mzuri hata kidogo!Akiongezeka Yeh Kanaplyanka na Andrily Yarmalenko inakua hatari sana

Northen Ireland wao ni kama England B!Wanajivunia sana beki yao yenye uzoefu wa kucheza ligi ngumu za Uingereza!Beki kama John Evans na Craig Carthcart hawamuogopi mshambuliaji yyt ktk dunia hii huku mtu wao wa mbele Kyle Lafferty kaivishwa na EPL!

Kama ulipanga kutoiona game hii sababu ya MAJINA madogo ya wachezaji wa Ireland utakosa uhondo sana
 
Ingawaje najua England watashinda, hata hivyo LET'S GO WALES.....
 
England anashinda hii 2-1 labda wales watoe 1-1 ila Easy win for England.

Naona Arsenal vs Spurs msimu ujao umeanza mapema (Ramsey vs Alli). Mkuu Simba watatu wakishindwa kupata ushindi leo mtakuwa na wakati mgumu katika pubs..
 
huyu Kane hii sio Spurs, Roy kwa namna Lallana anavyo close angeweka Rashford au Sturidge au Vardy.
 
Back
Top Bottom