Kuelekea Euro 2016: Timu zipi unazipa nafasi ya kufanya vyema?

Kuelekea Euro 2016: Timu zipi unazipa nafasi ya kufanya vyema?

Nilishakata tamaa nilisema Leo easy 2-1 ila haikuwa easy sababu ya mtu kama Kane na raheem na Roy hudgson.
Raheem si alikuwa kipenzi chako kipindi ile anachezea "timu yetu pendwa"

Ila Keane sijui kawaje kwenye mashindano haya
 
Basi leo hata tetesi za usajiri EPL sitasimamishwa kwa muda kwanza kwenye SKYSPORT na BBC hadi kesho hili kupishaa kelele za ushindi.... wakishindanga hawa watu ni nusu ya kuchukua ubingwaa.
 
Nilishakata tamaa nilisema Leo easy 2-1 ila haikuwa easy sababu ya mtu kama Kane na raheem na Roy hudgson.
Upumbavu mwengine wa hudgson ni kumuacha nje Cylne
 
Nilishakata tamaa nilisema Leo easy 2-1 ila haikuwa easy sababu ya mtu kama Kane na raheem na Roy hudgson.
England wamejichelewesha wenyewe kuingia 16 bora!Dan LZM aanze kwa England akiwa fit sababu hamna hata mchezaji mmoja mwenye hata nusu ya uwezo wake kwa sasa pale England!

Lkn kocha yy kakariri kuwa team iliyofanya vyema kwenye ligi na wachezaji wazawa(Spurs)LZM itoe wachezaji wengi first 11
 
1466089628143.jpg
 
Raheem atupishe timu ya ushindi ni hii ya second half Walker yupo vizuri sana anyway naona mamluki wamekimbia wamekimbia
 
Back
Top Bottom