Hahaha kwanini MkuuMkuu naomba nikupe nishani ya ukomavu kushangilia england
Nilishakata tamaa nilisema Leo easy 2-1 ila haikuwa easy sababu ya mtu kama Kane na raheem na Roy hudgson.Ushindi kwanza ...
Raheem si alikuwa kipenzi chako kipindi ile anachezea "timu yetu pendwa"Nilishakata tamaa nilisema Leo easy 2-1 ila haikuwa easy sababu ya mtu kama Kane na raheem na Roy hudgson.
Upumbavu mwengine wa hudgson ni kumuacha nje CylneNilishakata tamaa nilisema Leo easy 2-1 ila haikuwa easy sababu ya mtu kama Kane na raheem na Roy hudgson.
England wamejichelewesha wenyewe kuingia 16 bora!Dan LZM aanze kwa England akiwa fit sababu hamna hata mchezaji mmoja mwenye hata nusu ya uwezo wake kwa sasa pale England!Nilishakata tamaa nilisema Leo easy 2-1 ila haikuwa easy sababu ya mtu kama Kane na raheem na Roy hudgson.
mie naona Clyne sawa kukaa bench Walker amejitajidi sana tatizo lake anachelewa kupiga pande.Upumbavu mwengine wa hudgson ni kumuacha nje Cylne
Walker na Clyne WOTE wapo sawa LKN Sterling kuanza kwa Dan ni MATUSI makubwa kwa kila mpenda soka hapa dunianiUpumbavu mwengine wa hudgson ni kumuacha nje Cylne
Raheem hamna kitu pale. Mechi awe benchiRaheem atupishe timu ya ushindi ni hii ya second half Walker yupo vizuri sana anyway naona mamluki wamekimbia wamekimbia
Hata mashabiki wao humu ni kama washashinda euro vileBasi leo hata tetesi za usajiri EPL sitasimamishwa kwa muda kwanza kwenye SKYSPORT na BBC hadi kesho hili kupishaa kelele za ushindi.... wakishindanga hawa watu ni nusu ya kuchukua ubingwaa.
Wote sawa niKweli Ila walker apunguze kukimbia sana. Ndo maana anachelewa kupiga crossmie naona Clyne sawa kukaa bench Walker amejitajidi sana tatizo lake anachelewa kupiga pande.
Mashabiki wa taifa starz ya ulaya sio?Hata mashabiki wao humu ni kama washashinda euro vile