Hahaha... mkuu umetisha!!!!!Hapo Brazil anachukua kombe.
Hapo Brazil anachukua kombe.
Hahaha... mkuu umetisha!!!!!
ila nikushauri tu...Usipende kuvuta bangi Jua likiwa kali sana,
Rakitic na huyo mwenzake wa Madrid sio wa Croatia, hao ni wa Czech Republic mzee
Itakuwa nimejimix basiSheikh...Rakitic ni croatia professional footballer, modric pia ni mkroatia, kama unakumbuka ile mechi ya
ufunguzi walicheza na brazil wazee wa kubebwa, wakapata na goli la kupewa kama kawaida yao....pumbav kabisa
Yani kila kitu bangi mnaionea sasa, mnasahau kua kuna watu wamezaliwa akili zao hazina akili.Hahaha... mkuu umetisha!!!!!
ila nikushauri tu...Usipende kuvuta bangi Jua likiwa kali sana,
Labda siku hiyo De lima hawe mgonjwa hakuna wa kuizuia Brazil.Ha ha haa kateleza huyoo...kablazili hakaingii kwenye list ya wanaume katapigwa week2-1...
Wewe mimi situmii bangi ni ugoro tu.Hahaha... mkuu umetisha!!!!!
ila nikushauri tu...Usipende kuvuta bangi Jua likiwa kali sana,
Labda siku hiyo De lima hawe mgonjwa hakuna wa kuizuia Brazil.
el nino acha kukariri wewe ngojea tu Hayo mashindano yaanzeKila tournament huwa wanasema watafanya maajabu...
World cup 2006.... walikuwa kina lampard , gerrard, joe cole , rooney, Beckham, Owen, owen hagreaves hawakufanya maajabu... sembuse kina welbeck
Mkuu ulivutiwa na Ile 10 to 10 clean sheet nini?el nino acha kukariri wewe ngojea tu Hayo mashindano yaanze
Hahaha tulia basi. Na wewe hiyo wales kwasababu ya bale auMkuu ulivutiwa na Ile 10 to 10 clean sheet nini?
Wewe mimi situmii bangi ni ugoro tu.
Hahahaa ..... Sababu ya Wales Pirlo ...Hahaha tulia basi. Na wewe hiyo wales kwasababu ya bale au
Sasa mkuu hapo nani hana akili.Yani kila kitu bangi mnaionea sasa, mnasahau kua kuna watu wamezaliwa akili zao hazina akili.
Hata kwenye familia lazima atokee mtu mmoja tu anaeweza kuinyanyua, na hata hizo timu unazozipenda lazima atokee mmoja anaetegemewa sana.Hapo ndio ujue brazil hamna kitu! hawachezi kitimu,wanategemea mchezaji mmoja tu, na hata kama akiwepo huyo unae mwamini hawezi kufanya chochote kile...
Pirlo yupi huyo?Hahahaa ..... Sababu ya Wales Pirlo ...
England tatizo huwa wananiangusha sana wacha time hii niwapumzishe
Hahha mkuu ina maana hujui Kama Allen ni Wales Pirlo. ...[emoji15]Pirlo yupi huyo?
Usifanye hivyo baki England wewe