Kuelekea Euro 2016: Timu zipi unazipa nafasi ya kufanya vyema?

Kuelekea Euro 2016: Timu zipi unazipa nafasi ya kufanya vyema?

Rakitic na huyo mwenzake wa Madrid sio wa Croatia, hao ni wa Czech Republic mzee

Sheikh...Rakitic ni croatia professional footballer, modric pia ni mkroatia, kama unakumbuka ile mechi ya
ufunguzi walicheza na brazil wazee wa kubebwa, wakapata na goli la kupewa kama kawaida yao....pumbav kabisa
 
Hahaha... mkuu umetisha!!!!!

ila nikushauri tu...Usipende kuvuta bangi Jua likiwa kali sana,
Yani kila kitu bangi mnaionea sasa, mnasahau kua kuna watu wamezaliwa akili zao hazina akili.
 
Labda siku hiyo De lima hawe mgonjwa hakuna wa kuizuia Brazil.

Hapo ndio ujue brazil hamna kitu! hawachezi kitimu,wanategemea mchezaji mmoja tu, na hata kama akiwepo huyo unae mwamini hawezi kufanya chochote kile...
 
Mimi ni Argentina fans kamanda! wanaume wanaolijua soka in the world najivunia kwa hilo,

wametapakaa europe na all south americans kwa msaada wao! ndio nchi inayotoa wachezaji bora duniani kila mwaka tofauti na timu yeyote unayoijua....huyo unaemuona hapo si mgeni kwako ni Maradona LAS MEJORES JUGADAS DE D10S
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Back
Top Bottom