Iceland kashinda hvyo Ureno outWE PNC TOA UPDATE VIZURI TUKUELEWE NANI KAFUNGWA?
Ureno Hawezi pita kama best loser?
SO URENO YA MWISHO KWENYE HILO KUNDI?
Wafike mbali kwenda wap wakat washatokayaani hawa kina Ronaldo chenga kabisa wala hawafiki mbali timu mbovu mno
Wa 3[emoji12]SO URENO YA MWISHO KWENYE HILO KUNDI?
Najua we ni team messi lakini punguza mahaba kaangalie nani atakutana na England halafu urudi tenaRekod mwisho makundi[emoji13] [emoji13] [emoji13]
Ureno kapita ujui mpira nn ww best loser kashavukaIceland wamepiga goli dakika ya 94 na kuipeleka out ureno waliokuwa wanaombea suluhu
HIVI URENO HAWANA WACHEZAJI WANAOCHEZA CLUB KUBWA NJE YA LIGI YAO?ya 3, imepita
We hujitambui, hili ndilo tatizo la kubwabwaja bila kujua kanuni za mashindano.Iceland wamepiga goli dakika ya 94 na kuipeleka out ureno waliokuwa wanaombea suluhu
Iceland[emoji1] [emoji1] [emoji1]Najua we ni team messi lakini punguza mahaba kaangalie nani atakutana na England halafu urudi tena
Kweli ww ni kilazaa kwa hyo ureno wamepitaWe hujitambui, hili ndilo tatizo la kubwabwaja bila kujua kanuni za mashindano.
wanakutana na CroatiaWafike mbali kwenda wap wakat washatoka