Kuelekea Euro 2016: Timu zipi unazipa nafasi ya kufanya vyema?

Kuelekea Euro 2016: Timu zipi unazipa nafasi ya kufanya vyema?

Kuna MTU roho imemuuma kuona cr7 katupia mbili Leo. England vs Iceland. Ureno ana hali kwa Croatia
Lazima roho ziwaume haters walitaka watoke ureno ili wapate pa kusemea kuwa CR7 hawezi saidia Taifa lake ila kawa-prove wrong #teammessi [emoji12] [emoji12]
 
ILA KIUKWELI KIKOSI CHA URENO OVYO SANA WACHEZAJI WALE WALE WA KOMBE LA DUNIA 2010 BORA UINGELEZA ANA TIMU NZURI ILA KOCHA HAWANA
 
Vijana mlioanza kushabikia mpira kwa sababu ya Messi huwa hamjielewi, case study ni wewe.
Mkuu mara ya kwanza umeniita Dogo post ya pili umeniita kijana nimeamua kukuquote kabla hujaniita mzee

HV unajua nini kuhusu mpira
 
Mkuu mara ya kwanza umeniita Dogo post ya pili umeniita kijana nimeamua kukuquote kabla hujaniita mzee

HV unajua nini kuhusu mpira
Kweli ww ni kilazaa kwa hyo ureno wamepita

Kumbe dogo na kijana ni maneno mabaya kuliko 'kilazaa'.!!!!??
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Back
Top Bottom