Ed n Edd nEddy
JF-Expert Member
- May 3, 2011
- 5,345
- 6,076
Lazima roho ziwaume haters walitaka watoke ureno ili wapate pa kusemea kuwa CR7 hawezi saidia Taifa lake ila kawa-prove wrong #teammessi [emoji12] [emoji12]Kuna MTU roho imemuuma kuona cr7 katupia mbili Leo. England vs Iceland. Ureno ana hali kwa Croatia
Hata kombe la dunia kufuzu wana best loserHii Euro kama Kagame cup...jamaa wamepita.
Hata hivyo wamesumbuliwa sana. Ila Nafurahi kuona Cr7 katupia goli leona ukitazama wamecheza na timu ambayo haikuwa na presha kubwa lakini hovyo tu,ngoja wakutanae na Crotia waabike zaidi
[emoji2] [emoji2] huyu ndiyo CR7 [emoji123] [emoji123] [emoji123] PNC 1 alie tu [emoji24] [emoji24] [emoji24]
Mpira wa mbeleko ni tabu tupu
Huyu dogo huwa hajitambui, anadhani michezo ni ugomvi. Leo atalala vibaya sababu tu Ronaldo kafunga.
sijaanza kufatili mpira janaHata kombe la dunia kufuzu wana best loser
Kajifunze kusoma Umeona alama ya kuuliza hapoKwa hiyo umewatoa wewe?
Hiyo mbeleko unaona wewe tu. Ndo hivyo Portugal in last 16 [emoji1] [emoji1]Mpira wa mbeleko ni tabu tupu
Ndo wakasema E-fm kwambaHuyu dogo huwa hajitambui, anadhani michezo ni ugomvi. Leo atalala vibaya sababu tu Ronaldo kafunga.
Vijana mlioanza kushabikia mpira kwa sababu ya Messi huwa hamjielewi, case study ni wewe.Kajifunze kusoma Umeona alama ya kuuliza hapo
Mkuu mara ya kwanza umeniita Dogo post ya pili umeniita kijana nimeamua kukuquote kabla hujaniita mzeeVijana mlioanza kushabikia mpira kwa sababu ya Messi huwa hamjielewi, case study ni wewe.
Mkuu mara ya kwanza umeniita Dogo post ya pili umeniita kijana nimeamua kukuquote kabla hujaniita mzee
HV unajua nini kuhusu mpira
Kweli ww ni kilazaa kwa hyo ureno wamepita
Fanya yameisha.Kumbe dogo na kijana ni maneno mabaya kuliko 'kilazaa'.!!!!??
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]